Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,423
- 5,097
Hivi dunia kuna nchi 22 tu. ?????Mnaodai vikwazo havina madhara kwa Russian mnajidanganya ,ni vile media za Russia zimefungiwa ila hali ni tete ,hakuna anayetaka kuwekeza Russia ,alafu limeongezwa rungu lingine mataifa zaid ya 22 ya ulaya yamefuta VISA kwa raia wa Russian yaan mtanywea kombe lenu la vikwazo humohumo kwenu.Chezea mzungu wewe
Chanzo Yahoo word news
(This content was produced in Russia where the law restricts coverage of Russian military operations in Ukraine.)
(Reuters) - Russia's banks lost a combined 1.5 trillion roubles ($24.95 billion) in the first six months of 2022, a top official at Russia's central bank said on Friday in an interview with the RBC business daily.
It is the first time the regulator has disclosed banking sector earnings since Russia sent troops into Ukraine in February
Huko kwingne maisha hakunaHivi dunia kuna nchi 22 tu. ?????
[emoji1787]Na kwa jinsi warusi walivyo waongo, usikute wamepata hasara zaidi ya hiyo.
Hakuna anayesema.havina.madhara ila ni kwamba hata walioweka vikwazo nao wanalia kilio cha mbwa maana walidhani wanaikomoa Urussi peke yakeMnaodai vikwazo havina madhara kwa Russian mnajidanganya ,ni vile media za Russia zimefungiwa ila hali ni tete ,hakuna anayetaka kuwekeza Russia ,alafu limeongezwa rungu lingine mataifa zaid ya 22 ya ulaya yamefuta VISA kwa raia wa Russian yaan mtanywea kombe lenu la vikwazo humohumo kwenu.Chezea mzungu wewe
Chanzo Yahoo word news
(This content was produced in Russia where the law restricts coverage of Russian military operations in Ukraine.)
(Reuters) - Russia's banks lost a combined 1.5 trillion roubles ($24.95 billion) in the first six months of 2022, a top official at Russia's central bank said on Friday in an interview with the RBC business daily.
It is the first time the regulator has disclosed banking sector earnings since Russia sent troops into Ukraine in February
Wapi walisema athari zingeonekana baada ya miaka kumi, hiyo labda ni mataifa ya west ya Kilimanjaro na sio west hii tunayoifahamu sisi. Russia walishaanza kulia kitambo.Kwa mavukwazo yote hayo,hiyo hasara sio ya kibiashara sio kubwa!
Mahesabu ya west Ilikuwa ni kumaliza kabisa uchumi wa Russia Kwa Miezi 6 ya kwanza tokea vita kuanza!
Baadaye walivyoona vikwazo vina back fire ndio wakasema athari kubwa zaidi zitaonekana baada ya miaka 10!😂🤣
Eni emubi tuwaazime hao rashaMnaodai vikwazo havina madhara kwa Russian mnajidanganya ,ni vile media za Russia zimefungiwa ila hali ni tete ,hakuna anayetaka kuwekeza Russia ,alafu limeongezwa rungu lingine mataifa zaid ya 22 ya ulaya yamefuta VISA kwa raia wa Russian yaan mtanywea kombe lenu la vikwazo humohumo kwenu.Chezea mzungu wewe
Chanzo Yahoo word news
(This content was produced in Russia where the law restricts coverage of Russian military operations in Ukraine.)
(Reuters) - Russia's banks lost a combined 1.5 trillion roubles ($24.95 billion) in the first six months of 2022, a top official at Russia's central bank said on Friday in an interview with the RBC business daily.
It is the first time the regulator has disclosed banking sector earnings since Russia sent troops into Ukraine in February
Washaanza kuzurura na shoka begani mwituni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huko kwingne maisha hakuna
PossiblyNa kwa jinsi warusi walivyo waongo, usikute wamepata hasara zaidi ya hiyo.
Ulitaka mpaka Tanzania malawi na somalia Nazo ziweke vikwazo?Hivi dunia kuna nchi 22 tu. ?????
Sawa katika Nchi unalinganishajeHivi dunia kuna nchi 22 tu. ?????