Sema unatania. Buku 2 mbona chache sana?!Mwisho dollar 2000 TPB
Sema unatania. Buku 2 mbona chache sana?!Mwisho dollar 2000 TPB
Sema unatania. Buku 2 mbona chache sana?!
Duh! Kama ndivyo basi ni shida tupu! Sa' hiyo 2K si ni 4.5M za Kibongo hizo?! Sasa kama kuuza ni mbinde kiasi hicho, what about kununua!!Huo ndio ukweli labda ukabadilishie sehemu nyingine hizo zilizobaki
Duuh... Hatari aiseeMwisho dollar 2000 TPB
Duuh... Hatari aisee
Naomba kujua hii iko wapi ? wanahusika na nini ?Institute of Female Management
Iko mjini karibu na wizara ya afya na wanahusika na wanawakeNaomba kujua hii iko wapi ? wanahusika na nini ?
Hii ni rate ya wao kununua dola zako au wao kukuuzia dola zao?Mrejesho... Nilipata Access bank. Their current rate ni 2287 tzs
Wao kununua dola zakoHii ni rate ya wao kununua dola zako au wao kukuuzia dola zao?
Naona bei yao mzuri! Vipi hawa jamaa wanazo ATM Machines za kwao au wanatumia Umoja Switch?Wao kununua dola zako