melanin gal
Member
- Sep 8, 2016
- 58
- 22
Wakuu greetings...
Naomba kujuzwa bank yenye rate nzuri ya kubadilisha USD to TZS.
Naomba kujuzwa bank yenye rate nzuri ya kubadilisha USD to TZS.
Ni sh ngapi? and wanakubali hata kama hauna account kwao?Letshego
Karibu. Tukuhudumie Manzese Darajani utaona Tawi letuNi sh ngapi? and wanakubali hata kama hauna account kwao?
Nitashukuru ukinijibu hayo maswali kwanza...Karibu. Tukuhudumie Manzese Darajani utaona Tawi letu
Kununua 1 USD = 2120 Tsh
Okay... Thank youKununua 1 USD = 2120 Tsh
Better hawa kwa kweli. Thank youTanzania postal bank nadhani wako vizuri zaidi wananunua kwa 2275, japo jana hata nbc walikuwa wanagonga hiyo
Better hawa kwa kweli. Thank you
Na vipi mwisho wa kubadili ni dollar ngapi? Pia kuna masharti mengine ya ziada ? labda kwenda na barua ya mwenyekiti wa kijiji au kitambulisho cha ccm nakadhalikaNenda CRDB majuzi nimechenchi kwa 2270
Na vipi mwisho wa kubadili ni dollar ngapi? Pia kuna masharti mengine ya ziada ? labda kwenda na barua ya mwenyekiti wa kijiji au kitambulisho cha ccm nakadhalika
Na mie ninazo dollah,nikitaka kuja kubadilisha kupata tsh mnafanya kiasi ganiKaribu. Tukuhudumie Manzese Darajani utaona Tawi letu
Na mie ninazo dollah,nikitaka kuja kubadilisha kupata tsh mnafanya kiasi gani
HahahahaBenki ya Damu
Na vipi mwisho wa kubadili ni dollar ngapi? Pia kuna masharti mengine ya ziada ? labda kwenda na barua ya mwenyekiti wa kijiji au kitambulisho cha ccm nakadhalika
Samahani mheshimiwa MaguSasa wewe utazua mengine hapa