Benki yaweza kutoa pesa kwa mtumishi bila kuingizwa makato Lawson?

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
857
1,006
Habari wana Jf.

Nina mjomba Wangu ni mtumishi wa serikali amenikabidhi mwanae nikae nae nipo Arusha kikatiti.

Yeye ni mwalimu wa chuo.Katika likizo hii inayoishia Leo alijaribu kuomba Mkopo wa ada ya mwanae ninaeishi nae hapa kikatiti.Shida alipofika ofisini kwake akaambiwa mfumo wa Lawson una hitilafu hivyo makato hayawezi kupita.

Je,Kwa kuzingatia shule zinakwenda kufunguliwa benki inaweza kumpa Mkopo mwanae akapokelewe shule zetu hizi za kulipia?

Mawazo yenu tafadhali.
 
Huwezi pewa mkopo bila makato kuingia lawson.
 
Yeye kaajiriwa,si awaulize wenzie.Yanini kukusumbua mtu wa watu.Ama nawe unapendelea.Mwajiriwa chuoni kweli anahangaikia swali dogo kiasi hiki?
Basi mwambie atembelee tawi la benki lililokaribu naye!
Lol!!
 
Hata hivyo kwa waajiriwa ilimradi docs zote zipo anatakiwa apate mkopo wake ndani ya siku 2 hadi 7 bila kujarisha ni tarehe ngapi kaombea mkopo!!
 
Yeye kaajiriwa,si awaulize wenzie.Yanini kukusumbua mtu wa watu.Ama nawe unapendelea.Mwajiriwa chuoni kweli anahangaikia swali dogo kiasi hiki?
Basi mwambie atembelee tawi la benki lililokaribu naye!
Lol!!
Huyu mwalimu ni mgonjwa hivyo ndo mana namfuatilia hata kumuulizia huku Jf
 
Habari wana Jf.

Nina mjomba Wangu ni mtumishi wa serikali amenikabidhi mwanae nikae nae nipo Arusha kikatiti.

Yeye ni mwalimu wa chuo.Katika likizo hii inayoishia Leo alijaribu kuomba Mkopo wa ada ya mwanae ninaeishi nae hapa kikatiti.Shida alipofika ofisini kwake akaambiwa mfumo wa Lawson una hitilafu hivyo makato hayawezi kupita.

Je,Kwa kuzingatia shule zinakwenda kufunguliwa benki inaweza kumpa Mkopo mwanae akapokelewe shule zetu hizi za kulipia?

Mawazo yenu tafadhali.
Mkuu kumbe upo Kikatiti ! Naomba tufahamiane basi mie nipo hapa petrol station Kikatiti.

Mtoto anaweza kupokelewa kwa notice maalum au taarifa kutoka kwa mzazi haina shida hiyo kikubwa taarifa.
 
Wazazi wengine wanaona aibu kweli kujitetea mbele ya mkuu wa shule kuhusu kuchelewa kulipa ada.

Inaeleweka maisha ni magumu, wewe nenda hapo shuleni mpange mwl kwamba, mzazi wa huyo mtoto ni mgonjwa na anasubiri mkopo benki atalipa ada mfumo wa Lawson ulikuwa umefungwa, beba na nyaraka za mkopo peleka.

Linapokuja suala la kukosa ada ya mtoto kwa wakati inabidi ujishushe tu hata kama mkuu wa shule unamzidi umri au status yako ipo juu, unajifanya mjinga unampanga mkuu wa shule. Na wanapangika tu mbona mana kwa sababu na wenyewe ni binadamu.

Ila shule zingine watoto wanaambiwa wakaambie wazazi wao walipe ada kama hawawezi wawapeleke St Kayumba.

Na shule zingine wanafikia hatua ya kuwatisha watoto kuwapiga wakienda bila ada, basi asubuhi mtoto anagoma kwenda shule, mzazi utaitafuta tu ada mana dogo anakuwa analia tu anataka ada!
 
Umemaliza Kila kitu.
Watanzania kinachotucost hatuko wanyenyekevu yaani mtu kujitetea unapokwama ntu anaona km kajishushia heshima

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Oo sawa,
basi endelea kufatilia,japo naona kuna kiza flani.Ikiwa mwajiriwa ni mgonjwa wale watu wa mfumo LAWSON labda anaweza kuwa anachelewesha maksudi ili mgonjwa aje kufatilia mwenyewe.Au basi anataka chochote kitu.
Lakini zaidi siku hizi benk nyingi mtumishi akishamaliza kujaza fom zao za mkopo hupeleka wenyewe.Sasa sielewi hiyo benki mliyoombea kwanini inajidai hivyo!
 
yah hiyo kitu inahusisha mambo mengi,ni kama mdhamini wako(mwajiri)amebariki wewe kupewa hela kimaandishi.inakuwa ngumu sana afisa mkopo kuruhusu pesa kama mkopaji hajapitishwa kitengo cha makato.
 
kuna baadhi ya benki wanachotaka wao ni mshahara wa mfanyakazi uwe unapitia hapo kwenye benki yao kwa muda flani lets say miezi 6.
wanakupa mkopo wanakuwa wanakata wenyewe kila mshahara ukiingia elewa kwamba sio waajiriwa wote tanzania wapo kwenye mfumo wa lawson
 
Benki gani mkuu
 
Mkuu kumbe upo Kikatiti ! Naomba tufahamiane basi mie nipo hapa petrol station Kikatiti.

Mtoto anaweza kupokelewa kwa notice maalum au taarifa kutoka kwa mzazi haina shida hiyo kikubwa taarifa.
Nitakutafuta
 
NBC wana tabia ya kuchelewesha hata Kama umeingizwa kwenye mfumo wa makato. Ajabu ukishamaliza kujaza fomu wanajidai ndani ya masaa 48 pesa itakuwa tayari, utasubili hata majuma mawili yatapita.
 
Back
Top Bottom