Benki ya wanawake wameanza kuita shortilisted candidate.

mabereka

Member
Dec 4, 2012
23
0
wadau benki ya wanawake (twb)wameanza kuita shortilist nafasi walizotangaza novemba?mwenye taarifa 2peane info.
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,332
2,000
wadau benki ya wanawake (twb)wameanza kuita shortilist nafasi walizotangaza novemba?mwenye taarifa 2peane info.

Yeah_wameaanza mkuu,...ijumaa iliyopita waliita baadhi ya watu ili wafanye interview jmosi
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,899
2,000
Yeah_wameaanza mkuu,...ijumaa iliyopita waliita baadhi ya watu ili wafanye interview jmosi

JF ni habari mwanzo mwisho!! Ukiwa na issue wewe leta hapa tu!! Ni encyclopedia ya Bongo!!! Ni google ya Bongo!!
 
mabereka

Member
Dec 4, 2012
23
0
mkuu shortilist wameitwa ijumaa ili jumamosi wafanye interview mbona ni vigumu kwa mtu aliyeko mkoani kuwahi,acha tusubiri maybe tutaitwa na sisi hakuna kukata tamaa.
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
9,532
2,000
Ni kweli walifanyisha Interview Jumamosi,
Nilikutana na mama mmoja canteen ya IFM akiwa anajikumbusha kumbusha vitu muhimu muda mchache kabla ya kuingia kwa Interview, Kwa mujibu wa yule mama ilikuwa inaanza saa nne asubuhi na walifanyia ofisi fulani pale maeneo ya IFM na kwamba hayo ni maandalizi pia ya Benki hiyo kufungua tawi lingine maeneo ya Kariakoo!
 
mabereka

Member
Dec 4, 2012
23
0
Ni kweli walifanyisha Interview Jumamosi,
Nilikutana na mama mmoja canteen ya IFM akiwa anajikumbusha kumbusha vitumuhimu muda mchache kabla ya kuingia kwa Interview, Kwa mujibu wa yule mama ilikuwa inaanza saa nne asubuhi na walifanyia ofisi fulani pale maeneo ya IFM na kwamba hayo ni maandalizi pia ya Benki hiyo kufungua tawi lingine maeneo ya Kariakoo!
ok bwana babauya thanks kwa taarifa ni pm inbox.
 
IGWE

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
9,332
2,000
mkuu shortilist wameitwa ijumaa ili jumamosi wafanye interview mbona ni vigumu kwa mtu aliyeko mkoani kuwahi,acha tusubiri maybe tutaitwa na sisi hakuna kukata tamaa.

Yeah_mimi ni mhanga wa hili ndio maana nimejua wameita mkuu,..unapigiwa simu ijumaa halafu usahili jumamosi..nikashindwa mkuu

They promise to come back...nawasubiri
 
sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,537
2,000
wadau benki ya wanawake (twb)wameanza kuita shortilist nafasi walizotangaza novemba?mwenye taarifa 2peane info.

Mkuu nina-share nao floor hapa.. So kama unataka informations zozote just pm me..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom