Benki Unazoweza kufungua akaunti Paypal | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benki Unazoweza kufungua akaunti Paypal

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Stefano Mtangoo, Mar 19, 2013.

 1. Stefano Mtangoo

  Stefano Mtangoo Verified User

  #1
  Mar 19, 2013
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 3,531
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Nimeonelea ni vema tukapeana benki ambazo unaweza kufungua akaunti na Paypal na ukanunua vitu mtandaoni.
  Exim najua wana master card ingawa sijajua details (sio mteja wao) lakini kwa kuwa ni mastercard CC then itakuwa inaweza. Ongeza benki ambayo umewahi tumia au unajua inaweza tumika na Paypal ili kurahisishia wengine wanaotamani kujua na kufungua akaunti hizi

  1. CRDB => Unahitaji kuomba ku activate online purchase services. Waone katika matawi yao


  Unatumia bank gani? Share nasi!
   
 2. sajo

  sajo JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2013
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Any bank inayotoa kadi za visa au master card unaweza jiunga na paypal as kinachohitajika ni kadi ya kimataifa na sio jina la bank,so kama mtu anafungua akaunti atafute bank yoyote inayotoa internationAl card na aombe card iunganishwe na online services that's all
   
 3. M

  MABAGHEE JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2013
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 688
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nafikiri CRDB wana charge (monthly charges) kama unataka kupata online services
   
 4. networker

  networker JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2013
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Crdb ndio rahisi kwasasa kwa waTz kwa exim hadi uwe mkwanja mrefu ndio utapata hyo huduma pammoja na kwamba card zao ni MasterCard

  Kwa crdb msije jichanganya na account yako ku access paypal au kununua vitu online na internetbanking

  Internet banking ni kuwezaku accesacount yako kwa njia ya mtandao wa internet imefanana na simbanking sema hii ina tumiainternet afu charges zake ni expensive sana ila hii ya kulink na paypal au kulipia vitu online iko fare charges zake
   
 5. The Giant

  The Giant JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2013
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 475
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  ABC bank ni ever cheap and reliable
   
 6. Islam005

  Islam005 JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2013
  Joined: Nov 1, 2008
  Messages: 2,553
  Likes Received: 906
  Trophy Points: 280
  Kweli kuhusu Exim nina mastercard yao tangu zamani na mwaka jana nilipoteza lisaa lizima oficini kwao nikitaka waniwezeshe kununua vitu online but walisema ni complicated mara expensive mara etc etc nikapotezea,nafikiria kujaribu ABC i hope wao ni kitu.
   
 7. c

  changman JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2013
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mtu haufungui akaunti ya paypal kwa kutumia bank. Unachotakiwa kufanya ili utumie paypal kununua bidhaa online, ni kwenda website ya paypal unajirejista. Wao watakupa bank account yao ya marekani ambapo utadeposit hela huko. Baada ya siku mbili ukifungua account yako ya paypal utaona balance yako ishawekwa. Unaanza kununua bidhaa online. Hakuna haja ya kulipa monthly fees kwenye bank yoyote. Mtu kama hujui haya mambo acha kudanganya wenzako.
   
 8. Stefano Mtangoo

  Stefano Mtangoo Verified User

  #8
  Mar 30, 2013
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 3,531
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine ukinyamaza utaonekana mwenye hekima!

  https://www.paypal.com/cgi-bin/webscr?cmd=xpt/Help/general/TopQuestion2-outside

  Hiyo card unaipata wapi? Bank au kwa Mama Lishe? :banplease:
   
 9. c

  changman JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2013
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Jamani, kama mtu hujawahi tumia hizi huduma, na huzijui, usichangie! Mimi nina account ya paypal na ninanunua vitu online. Wakati nafungua account yangu, sikuhitajika kuwa na debit or credit card. Hapo anapoongelea mambo ya cards, anamaanisha kwamba kama ulishakuwa na cards za debt au credit hata kabla hujawa na acount ya paypal, inakurahisishia maana utatumia card yako straight ku top up ur paypal account itakayosaidia wewe kuwa na kiasi kidogo kwenye paypal account huku kiasi kikubwa kimebaki kwenye card yako, so unakuwa safe kwa wezi wanaoiba bank card details. HAUHITAJI BANK ACCOUNT KUTUMIA PAYPAL! Umeelewa au niongeze maelezo?
   
 10. Stefano Mtangoo

  Stefano Mtangoo Verified User

  #10
  Apr 1, 2013
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 3,531
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Hahahaa! Dah!
  Hebu tueleze ulinunuaje vitu online kwa akaunti ya paypal bila kuwa na akaunti ya benki?

  Kufungua Paypal account haihitaji card lakini bila kuiunganisha na card yako ambayo inakudai uwe na benki inkuwa ni useless dumy account unless iwe ya kuombea misaada!

  Hahaha! ona kwenye hizo rangi nyekundu halafu useme unapiga kelele za nini?
  Paypal bila bank account ni upuuzi unless uwe unatumia kuomba misaada, period!
  Wewe unaongea kisiasa zaidi.
   
 11. c

  changman JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2013
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa mwenyewe unakubaliana kwamba hauhitaji bank account wala card kufungua account ya paypal, sasa unaendeleza ubishi wa nini??

  Mimi nilifungua account yangu nikiwa hata kadi ya bank sina. Waliponipa bank account yao nikaenda bank nikatuma hela ndo baadae nikafungua account. Kitu gani hakieleweki hapo?

  Mambo ya ku link card na paypal, ni IWAPO UNATAKA KU TOP UP UR ACCOUNT KWA KUTUMIA CARD TUU!

  Ni kitu gani kinakufanya uwe mbishi wakati hujui haya mambo?
   
 12. Stefano Mtangoo

  Stefano Mtangoo Verified User

  #12
  Apr 1, 2013
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 3,531
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Ok kama ni ushindi tu chukua, ila utuambie lengo la kufungua Paypal akaunti lilikuwa nini kama mwisho wa siku hauhitaji kuwa na bank akaunti?


  Check hapo kwenye red ulienda bank kufanya nini na umesema hauhitaji bank?
  Ultimately you will need a bank account somehow.
  That is the bottom line, period!

  Hata mimi sijui lol!
  Mjinga kweli mimi, yaani vitu sivijui bado najifanya nimo...!
  Hilarious :)
   
 13. M

  Mtu Poa 2013 Member

  #13
  Apr 1, 2013
  Joined: Mar 26, 2013
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapa mtu kauliza swali JF, anapewa majibu ya kumuelimisha, then anabishana na hayo majibu. Sasa uliuliza ya nini from the first place.
   
 14. c

  changman JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2013
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  No hauhitaji bank. Unaweza tumia hata western union kuwatumia hela.
   
 15. Stefano Mtangoo

  Stefano Mtangoo Verified User

  #15
  Apr 1, 2013
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 3,531
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unachokwepa ni **personal** bank account?
  Ultimately you need a bank account regardless of a form!
  Not necessarily **your** account, it might be wife's, friend's, western's.
  Whatever form it takes, you need it!
   
 16. m

  marikiti JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2013
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 2,706
  Likes Received: 321
  Trophy Points: 180
  Mwelimishaji anaonekana ni mgumu kumuelimisha mtu ambae hajui kabisa.nimejaribu kumfuatilia kujieleza mtupu.hebu tuelimishe kama watu wasiojua paypal acc kabisa
   
 17. c

  changman JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2013
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa nikwepe personal account ya nini, wakati mi ndo natumia personal ambayo haihitaji bank account na haina usumbufu!

  Sasa ukifungua kama business account sasa, maana lets say unawebsite na unauza nguo online, utakapolipwa na wateja hela zinaingia account ya paypal then unahitaji bank account kujitumia. But hapa pia sio lazima uwe na bank card kuwezesha yote haya. Kuna tofauti kati ya bank account na bank card.

  Sasa wewe una generalize kwamba lazima utumie au uwe na bank account au card kutumia paypal, wakati sio lazima. Inategemea na account ya aina gani unafungua paypal. Umeelewa sasa?
   
 18. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2013
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,314
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  UBA na BankABC
   
 19. Stefano Mtangoo

  Stefano Mtangoo Verified User

  #19
  Apr 1, 2013
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 3,531
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Kirefu chake Pls :)
   
 20. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2013
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 717
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  We jamaa hujamwelewa Changman anachomaanisha, umekalia ubishi tu usiyo na maana. Nilidhani umeuliza swali ili uelimishwe kumbe we ndio unajua zaidi!!! Sasa uliuliza au kuomba msaada ili iweje? Kuna watu waajabu sana lol
   
Loading...