Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,602
- Thread starter
- #21
Siajaelewa!Sasa nikwepe personal account ya nini, wakati mi ndo natumia personal ambayo haihitaji bank account na haina usumbufu!
Sasa ukifungua kama business account sasa, maana lets say unawebsite na unauza nguo online, utakapolipwa na wateja hela zinaingia account ya paypal then unahitaji bank account kujitumia. But hapa pia sio lazima uwe na bank card kuwezesha yote haya. Kuna tofauti kati ya bank account na bank card.
Sasa wewe una generalize kwamba lazima utumie au uwe na bank account au card kutumia paypal, wakati sio lazima. Inategemea na account ya aina gani unafungua paypal. Umeelewa sasa?
Maana hujasema unawezaje kuwa na meaningful account bila kuwa na akaunti ya benki?
Unachokwepa wewe ni kutumia akaunti ya mwingine...in anyway bank account lazima iwe involved ili akaunti iwe meaningful. the fact kuwa akaunti siyo yako haibadili chochote.
Anyway nilimaanisha personal bank akaunti na siyo perosnal paypal account!
Mengineyo tuyaache yalivyo turudi ktk mada husika!