Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,033
- 9,923
NATURE OF FRAUD | March 2023 TZS | June 2023 -TZS | September 2023 - TZS | December 2023 - TZS |
Internal staff fraud | 431921442 | 227317580 | 1350299922 | 469396225 |
Mobile and Internet Banking (including cyber-attacks) | 1669067075 | 674062254 | 901867410 | 1654967276 |
ATM Card Skimming | 57466796 | 424166733 | 99646255 | 159871259 |
Forged Cheques and TISS | 34000000 | 954594901 | 20900000 | 11300000 |
Armed Robbery | 0 | 0 | 0 | 0 |
Others | 234666160 | 274894797 | 301957241 | 345613601 |
TOTAL | 2427166459 | 2555036266 | 2674670828 | 2641148362 |
Mkuu tufunguke ili iweje? Tuacheni tufanye kazi na tuboreshe uchumi wetu kwa maslahi mapana ya nchi yetu.Sasa mbona hamjaelezea njia walizotumia yaani process Ili tujue walifanyaje na sisi tuweze kujikinga . We unatuambia tu ATM, au internal fraud how? Usikute haya makato ya sim banking transfer ni uwizi embu fungukeni vizuri
Mengine ni michezo ya wafanyakazi wa hizo benki au kampuni za simu kuwaibia wateja.....makato yamewekwa wazi , wizi unajulikanaSasa mbona hamjaelezea njia walizotumia yaani process Ili tujue walifanyaje na sisi tuweze kujikinga . We unatuambia tu ATM, au internal fraud how? Usikute haya makato ya sim banking transfer ni uwizi embu fungukeni vizuri
Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kwa benki zote na taasisi za kifedha kuhusu matukio ya wizi katika sekta ya benki. Kupitia barua yenye kumbukumbu FA.53/359/01/25 iliyotolewa tarehe 5 Machi 2024, Benki Kuu imeeleza kuwa inahitaji kila benki na taasisi ya kifed
Mwigulu anasema kila akipita anaona magari mengi yenye namba za “E” , kwake hiyo ni ishara ya maendeleo ya nchi!! Hajui kuwa fedha hizo wanazonunulia magari zinatokana na wizi kwenye mabenki na sio kutokana na kuongezeka kwa uzalishaji!kutoa taarifa kuhusu matukio ya wizi.
Benki Kuu ya Tanzania imetoa muhtasari wa hasara zilizosababishwa na matukio ya wizi katika sekta ya benki kwa kipindi cha miezi minne kama ilivyooneshwa katika jedwali ambapo wizi katika simu umezidi wizi wa aina nyingine, huku kukiwa hakuna wizi wa kutumia silaha.
NATURE OF FRAUD March 2023
TZSJune 2023 -TZS September 2023
- TZSDecember 2023
- TZSInternal staff fraud 431921442 227317580 1350299922 469396225Mobile and Internet
Banking (including
cyber-attacks) 1669067075 674062254 901867410 1654967276ATM Card Skimming 57466796 424166733 99646255 159871259Forged Cheques and
TISS 34000000 954594901 20900000 11300000Armed Robbery 0 0 0 0Others 234666160 274894797 301957241 345613601TOTAL 2427166459 2555036266 2674670828 2641148362
View attachment 2926969
Taarifa hii inalenga kusaidia katika kuboresha udhibiti wa ndani ili kupunguza hasara za baadaye zinazotokana na wizi katika sekta ya benki.
Hii ni hatua muhimu katika kudumisha usalama na ufanisi katika mfumo wa kifedha nchini Tanzania. Benki Kuu inatoa wito kwa benki zote na taasisi za kifedha kushirikiana kikamilifu kutoa taarifa sahihi na kuchukua hatua za kuzuia matukio ya wizi katika siku zijazo.
Wanaimarisha vipi shilingi yetu pamoja na mfumuko wa bei? Bot ni urembo tu!Benki Kuu ya Tanzania imetoa taarifa kwa benki zote na taasisi za kifedha kuhusu matukio ya wizi katika sekta ya benki. Kupitia barua yenye kumbukumbu FA.53/359/01/25 iliyotolewa tarehe 5 Machi 2024, Benki Kuu imeeleza kuwa inahitaji kila benki na taasisi ya kifedha kutoa taarifa kuhusu matukio ya wizi.
Benki Kuu ya Tanzania imetoa muhtasari wa hasara zilizosababishwa na matukio ya wizi katika sekta ya benki kwa kipindi cha miezi minne kama ilivyooneshwa katika jedwali ambapo wizi katika simu umezidi wizi wa aina nyingine, huku kukiwa hakuna wizi wa kutumia silaha.
NATURE OF FRAUD March 2023
TZSJune 2023 -TZS September 2023
- TZSDecember 2023
- TZSInternal staff fraud 431921442 227317580 1350299922 469396225Mobile and Internet
Banking (including
cyber-attacks) 1669067075 674062254 901867410 1654967276ATM Card Skimming 57466796 424166733 99646255 159871259Forged Cheques and
TISS 34000000 954594901 20900000 11300000Armed Robbery 0 0 0 0Others 234666160 274894797 301957241 345613601TOTAL 2427166459 2555036266 2674670828 2641148362
View attachment 2926969
Taarifa hii inalenga kusaidia katika kuboresha udhibiti wa ndani ili kupunguza hasara za baadaye zinazotokana na wizi katika sekta ya benki.
Hii ni hatua muhimu katika kudumisha usalama na ufanisi katika mfumo wa kifedha nchini Tanzania. Benki Kuu inatoa wito kwa benki zote na taasisi za kifedha kushirikiana kikamilifu kutoa taarifa sahihi na kuchukua hatua za kuzuia matukio ya wizi katika siku zijazo.
Wezi wakubwa ni staff wa BankSasa mbona hamjaelezea njia walizotumia yaani process Ili tujue walifanyaje na sisi tuweze kujikinga . We unatuambia tu ATM, au internal fraud how? Usikute haya makato ya sim banking transfer ni uwizi embu fungukeni vizuri
OTP zinatumwa as plain text, so ni rahisi hata kwa wafanyakazi walipo ktk mitandao ya simu kuziona/kuzisoma na kushiriki kufanikisha wizi.Mobile and Internet
Banking (including
cyber-attacks) ::
Cyber-attacks inaingiaje wakat bank zote zina request otp code ? au tuseme wanaclone sim card
Lazima BOT iwe urembo kwani wanachaguana kupeana kazi kwa kujuana na sio kwa weledi!Wanaimarisha vipi shilingi yetu pamoja na mfumuko wa bei? Bot ni urembo tu!
Staff wakishirikiana na systems administrators wanapiga jangusho kila kukicha....Kuna jamaa siku hiyo kalewa anaropoka kwamba ka program system kwa kila transaction inayofanyika sh...3 inaingia kwenye line yake ya simu....Sasa tukikatwa sh. 3 hatuoni maumivu.....lakini kwa mamilioni ya watu wanaotumia huduma hiyo......?Mobile and Internet
Banking (including
cyber-attacks) ::
Cyber-attacks inaingiaje wakat bank zote zina request otp code ? au tuseme wanaclone sim card
Na wewe ukaamini bila kuchuja! Kwa akili ya kawaida tu kuna transactions ngapi zinafanyika kwa siku moja na kama alivyokuambia katika kila transaction anachukua shilingi 3 zinaingia kwenye line yake!! Huoni kuwa hizo ni hela nyingi sana kiasi kwamba lazima atakamatwa? Kwanza atazitoaje hizo fedha kwani zitakuwa nyingi sana.Staff wakishirikiana na systems administrators wanapiga jangusho kila kukicha....Kuna jamaa siku hiyo kalewa anaropoka kwamba ka program system kwa kila transaction inayofanyika sh...3 inaingia kwenye line yake ya simu....Sasa tukikatwa sh. 3 hatuoni maumivu.....lakini kwa mamilioni ya watu wanaotumia huduma hiyo......?
Nitachuja....halafu tuone kama itasaidia kupunguza wizi.Na wewe ukaamini bila kuchuja! Kwa akili ya kawaida tu kuna transactions ngapi zinafanyika kwa siku moja na kama alivyokuambia katika kila transaction anachukua shilingi 3 zinaingia kwenye line yake!! Huoni kuwa hizo ni hela nyingi sana kiasi kwamba lazima atakamatwa? Kwanza atazitoaje hizo fedha kwani zitakuwa nyingi sana.
Usiamini kila unachoambiwa au kusoma lazima ujitahidi kuchuja!
Na kwamba hao wenye hayo magari ni sehemu ndogo sana ya population ya nchiMwigulu anasema kila akipita anaona magari mengi yenye namba za “E” , kwake hiyo ni ishara ya maendeleo ya nchi!! Hajui kuwa fedha hizo wanazonunulia magari zinatokana na wizi kwenye mabenki na sio kutokana na kuongezeka kwa uzalishaji!
Taarifa nzuri ila inahitaji ufafanuzi zaidiSasa mbona hamjaelezea njia walizotumia yaani process Ili tujue walifanyaje na sisi tuweze kujikinga . We unatuambia tu ATM, au internal fraud how? Usikute haya makato ya sim banking transfer ni uwizi embu fungukeni vizuri
Mpaka uibiwe ndiyo utajuaMobile and Internet
Banking (including
cyber-attacks) ::
Cyber-attacks inaingiaje wakat bank zote zina request otp code ? au tuseme wanaclone sim card
Inawezekana watanzania tunaongoza kwa ununuaji majumba uarabuni, mashariki ya mbali na Afrika Kusini, hii inaonesha Tanzania inaongoza kwenye ukuaji uchumi uliotukuka.Mkuu tufunguke ili iweje? Tuacheni tufanye kazi na tuboreshe uchumi wetu kwa maslahi mapana ya nchi yetu.