mi nina mkopo na kila rejesho nalipa bila shida,
Nipige Tafu?Hii inawahusu hata waliokopa kwenye mitandao ya simu?
No, kuna zile TIMIZA ya Airtel, au M PAWA ya Voda.Nipige Tafu?
Akili za wana ccm utazijua tuu.Hovyo kabisacorona sio sababu ya kutolipa deni.
Hao unawapotezea tu mkuu hawakufanyi chochote!!! Sema Airtel ukiweka tu hela wataila..,voda sidhani kama wanakata juu kwa juu.No, kuna zile TIMIZA ya Airtel, au M PAWA ya Voda.