Benki kuu: ......................sera za ukiritimba zitatumaliza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benki kuu: ......................sera za ukiritimba zitatumaliza

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by UmkhontoweSizwe, Oct 18, 2010.

 1. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Juzi nimeenda benki kwa nia ya kutuma pesa kidogo kwenda US lakini masharti niliyoyakuta huko sikuamini. Kwanza, Nikaambiwa kama natuma fedha kwa madhumuni ya kibiashara ni lazima nipeleke pro-forma invoice. Nikashindwa kuelewa. Pro-forma invoice ya nini wakati mimi sifanyi manunuzi yoyote ya kiserikali? Mimi siyo taasisi au kitengo cha serikali bwana. Mliwaacha kina Chenge wakanunua ndege ya serikali kwa pro-forma invoice za kughushi mnakuja kutubana sisi watu binafsi?!
  Pili, nikaambiwa kama natuma kwa mtu binafsi lazima nilete barua toka kwa mtu ninayemtumia kuonyesha kuwa anahitaji pesa. Kama ni mwanafunzi basi barua itoke shuleni kwake, I-20 yake, Visa etc.
  Goooosh, yaani masharti mengine hayana hata msingi. Personal issue yangu mpaka nikawatangazie watu waandike barua! Yaani pasa yangu, kuitumia mpaka Benki Kuu watake! Upuuzi wa hali ya juu. Wamezoea enzi za ujamaa wanadhani dunia bado imesimama kuwasubiri wao na sera zao zisizoleta ufanisi wowote. Nikihamisha akaunti yangu kupeleka Kenya ambako hakuna masharti watu wataniona siyo mzalendo. Lakini sera zetu zinakirihisha na kukatisha tamaa.

  Benki Kuu: Fungueni milango itakayohamasisha watu kuingiza $$ zaidi nchini, badala ya kubana njia za kutumia ili kulinda tu kidogo kilichopo. Hizo sera zimepitwa na wakati.

  Ombi: jamani nahitaji kutuma $$ kiasi kwenda US. Kama kuna mtu anajua njia nzuri na salama, tafadha naomba un-PM, I'll contact you. For those in the US, I can give the money here (Bongo), and you deliver the same amount to my colleague in the US. He needs money before Thursday next week.
  Note: Ni kwa shughuli ambayo ni LEGAL, so shouldn't have to worry.
  Thanks in advance.
   
 2. m

  mosesk Member

  #2
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndugu yangu, lakini utaratibu huo ni wa Dunia nzima bwana . Siku hizi kuna ukiritimba karibia kila sehemu kwa kisingizio cha Hela chafu, kitu cha msingi atokee mdau ambaye ataokoa jahazi kwa US the wewe unaweza kuwapa labda familia yake itakuwa imesaidia. Ila jaribu Western Union inaweza kuwa nafuu sina uhakika lakini nafikiri kuna nafuu.
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  We dunia nzima ya wapi????????????? Just Friday nimetoka kutuma hela kwenda bongo, the only change nilkiyoiona kwenye Western union ni kwamba form ya kutuma na kupokea siku hizi ni moja, pili unatakiwa utaje sababu ya kwa nini unatuma of which is simply "PRIVATE" and si acceptable. Hayo mambo ya profoma invoice, barua sijui kutoka kwa unayemtumia, I-20 sijui Visa is just ridiculous na si ya dunia nzima as u want portray it.
   
 4. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni utaratibu wa karibia sehemu zote duniani, Financial institutions zinatakiwa ziweke utaratibu mzuri wa kuzuia pesa chafu! Anti-Money laundering policies
  Embu check baadhi ya articles kwenye website ya International Bank of Settlement ( Hii ni Central Bank of Central Banks Worldwide)

  But Jaribu Money Gram, Western Union, au Nenda bank of Baroda hawa jamaa bado wako weak kwenye compliance.
   
 5. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  I think, they were right!This was done in good faith!remember there is world convention on fighting against money laundering!again there is issue of controlling inflow and outflow of foreign exchange currencies!It is reality,they were trying to exercise duties and responsibilities.There is nothing new here!don't complain!
   
 6. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ana lake jambo!!!! Ukimchunguza sana utaona ni mpinzani wa serikali ya ccm, hivyo anataka kuwaambia wananchi kuwa serikali ya ccm imemzuia kutuma pesa nnje, maana kashaanza na kumtaja chenge.
  Ilichofanya BoT ni kuepuka uwezokano wa wewe kutuma pesa kwa matumizi mabaya.
   
 7. D

  Dick JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu, hakuna uhuru usio na mipaka/taratibu. Ukiritimba huo huwa unalenga kutotoa nje fedha za kigeni ambazo ni kipimo kikubwa cha uimara wa uchumi wa nchi. Nchi kama Africa Kusini, taratibu ni ngumu zaidi.

  Nakushauri ufuate utaratibu ili umalize shida yako.
   
 8. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Baba mtu sorry to say , but naona una matatizo makubwa! CCM imeingiaje humu? huu ni uwanja wa mambo ya biashara wewe unaleta siasa! nani asiyejua CCM imekuwa ni chanzo cha huduma mbovu karibia kila sector ndani ya hii nchi yetu!
   
 9. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2010
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,973
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Asanteni kwa mliotoa maoni na ushauri. Nakubaliana na wazo zima la kupambana na pesa chafu, laakini si kweli kwamba huo ni utaratibu wa dunia nzima. Nimekaa nje ya nchi yetu, na nimewahi kutuma pesa kuja TZ mara nyingi. Hakuna mahali popote ambapo nimewahi kupata usumbufu wa aina hii. Nimetuma kwa kutumia banks mbalimbali, na kwa wire transfer, hata kutokea US, hakuna mizengwe ya aina hiyo. Hata Kenya tu nasikia hawana usumbufu wa aina hii.
  baba mtu, nimeshangazwa na maoni yako kwa sababu badala ya kujadili hoja ya msingi wewe umejadili illustration, .......funny!
   
 10. K

  King kingo JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nadhani Western union unaweza peleka copy ya passport ya huyo unaemtumia then akaandika kuwa unatuma kwa ajili ya Tuition fees wanakubali, jaribu huko
   
 11. N

  Ngo JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  Sawa Unavyosema kaka lakini hata hapa US kuna utaratibu wake na kiwango pia, Kikiwa kikubwa FBI watakuwa wameshataarifiwa tayari. Ukiwa unatuma tuma mara kwa mara hukawii kuhojiwa na FBI, ila unaweza kumpa mtu mwingine unayemwamini ukaenda naye Bank akatumia jina lake kwenda kwenye account unayotaka wewe.

  Hata Western Union nao kama unatuma zaidi ya $1000 watakuomba kitambulisho na vitu vidogo vidogo, japo hawakomai kama hapo Bongo maana $1000 hapa ni kiasi kidogo sana cha Pesa. Nadhani na uchumi wetu kuwa mdogo nayo inachangia maana kutuma hata $100 hapo TZ kwenda nje ya nchi utaambiwa mtu aliyeko inje atume Viza copy yake, invoice kutoka shule kama ni mwanafunzi n.k.

  Pole sana lakini ni mfumo wa F/Institutions kwa sasa hasa kwa nchi maskini kama za kwetu ndo mashariti yanakuwa magumu maana hiyo $ hawataki itoke nje kuipata ni shida zaidi.
   
 12. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jamani si kila kitu ni siasa hayo maswala ni kwasababu kuna Money Laundering Act and Terrorism Act zilikuwa introduce 2006 kama sikosei kujaribu kuzuia fedha hizi chafu Tanzania. Si kweli kwamba ni mkono wa siasa
   
 13. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,653
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  "Ukiritimba" ni sawa na "monopoly" kwa Kiingereza. Labda ulimaanisha "urasimu" (kwa maana ya "bureaucracy"?)
   
 14. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Benki kuu wanachofanya sio ukiritimba bali wanatekeleza sheria halali ya "Money Laundering Act and Terrorism Act iliyotungwa na bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania ya 2006"
   
Loading...