GE2025 Benki Kuu imekanusha taarifa za kuchapisha pesa “Makontena kwa Makontena” kwa ajili ya uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuchapishwa kwa fedha na kuzisambaza kwa ajili ya uchaguzi, huku baadhi ya watu wakihamasisha wananchi kuondoa fedha zao kutoka mabenki kwa madai ya uhaba wa fedha.

BoT imesisitiza kuwa taarifa hizo siyo za kweli na zinapaswa kupuuzwa. Kuchapishwa kwa fedha kunafanywa kwa mujibu wa Kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu, Sura 197, na kuziingiza kwenye mzunguko kulingana na mahitaji ya kiuchumi na kubadilisha fedha zilizochakaa zinazorudiwa na benki za biashara. Benki Kuu pia imeendelea kutekeleza Sera ya Fedha kwa ufanisi, huku mfumuko wa bei ukiwa chini ya wastani wa asilimia 3.3 kwa miezi 10 ya mwaka 2025, thamani ya shilingi ikaimarika kwa asilimia 8.8, na akiba ya fedha za kigeni kufikia Dola bilioni 6.7, ikikidhi uagizaji wa bidhaa nje kwa miezi 5.4.

Soma: Mange Kimambi adai Benki Kuu Tanzania (BoT) imechapisha pesa Makontena kwa Makontena (Money Printing)

Aidha, BoT imethibitisha kuwa mabenki yote nchini yanaendeshwa kwa kuzingatia sheria, kanuni, miongozo na viwango vya kimataifa, ukiwa na mitaji na ukwasi wa kutosha, faida endelevu, na kiwango kidogo cha mikopo chechefu (asilimia 3.3 Septemba 2025). BoT imewaonya wananchi kutohamisha fedha zao kutoka benki na kuzitunza nyumbani, ikisema utamaduni huo ni hatari na unaweza kupelekea wizi, kupotea au uharibifu wa fedha.

Badala yake, kutunza fedha benki kunalinda amana, kunalipia riba au faida ya mwaka, na kunasaidia benki kupata mitaji ya kukopesha wananchi. Benki Kuu pia inawaonya wote wanaosambaza taarifa zisizo sahihi mitandaoni waache mara moja, kwani uvumi huo hauna tija kwa maendeleo ya sekta ya fedha na uchumi wa taifa kwa ujumla.

564715681_18024326066762085_7047049808375738228_n.jpg
 
Unategemea majambazi yakiri hadharan?Hii benki kuu Mara ngapi imehusika na Ufisadi kipindi cha Uchaguzi,
*Meremeta ilichota hela za uchaguzi
*Daudi Balali alifanya ufisadi akakimbilia visiwa gani sijui huko
*Liyumba na wenzake ufisadi wa majengo pacha
Pesa za Escrow kwenye masandarusi
Hizo zote walete barua hapa tuone kama waliwahi kukiri
 
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuchapishwa kwa fedha na kuzisambaza kwa ajili ya uchaguzi, huku baadhi ya watu wakihamasisha wananchi kuondoa fedha zao kutoka mabenki kwa madai ya uhaba wa fedha.

BoT imesisitiza kuwa taarifa hizo siyo za kweli na zinapaswa kupuuzwa. Kuchapishwa kwa fedha kunafanywa kwa mujibu wa Kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu, Sura 197, na kuziingiza kwenye mzunguko kulingana na mahitaji ya kiuchumi na kubadilisha fedha zilizochakaa zinazorudiwa na benki za biashara. Benki Kuu pia imeendelea kutekeleza Sera ya Fedha kwa ufanisi, huku mfumuko wa bei ukiwa chini ya wastani wa asilimia 3.3 kwa miezi 10 ya mwaka 2025, thamani ya shilingi ikaimarika kwa asilimia 8.8, na akiba ya fedha za kigeni kufikia Dola bilioni 6.7, ikikidhi uagizaji wa bidhaa nje kwa miezi 5.4.

Soma: Mange Kimambi adai Benki Kuu Tanzania (BoT) imechapisha pesa Makontena kwa Makontena (Money Printing)

Aidha, BoT imethibitisha kuwa mabenki yote nchini yanaendeshwa kwa kuzingatia sheria, kanuni, miongozo na viwango vya kimataifa, ukiwa na mitaji na ukwasi wa kutosha, faida endelevu, na kiwango kidogo cha mikopo chechefu (asilimia 3.3 Septemba 2025). BoT imewaonya wananchi kutohamisha fedha zao kutoka benki na kuzitunza nyumbani, ikisema utamaduni huo ni hatari na unaweza kupelekea wizi, kupotea au uharibifu wa fedha.

Badala yake, kutunza fedha benki kunalinda amana, kunalipia riba au faida ya mwaka, na kunasaidia benki kupata mitaji ya kukopesha wananchi. Benki Kuu pia inawaonya wote wanaosambaza taarifa zisizo sahihi mitandaoni waache mara moja, kwani uvumi huo hauna tija kwa maendeleo ya sekta ya fedha na uchumi wa taifa kwa ujumla.

View attachment 3489769
Acheni kutumika kama TOILET PAPER, muda utafika mtatakiwa kuwasilisha huu ushahidi.
Watanzania amkeniiiii, mnalala mna raha gani na huku tumezipata picha za mmoja wa ring leaders w.jpg
 
Hivi kuna mtu bado anaamini matamko kutoka serikalini?

Muda uliopo wasiwe hata wanahangaika kujibu shutuma dhidi yao maana wananchi hawana imani tena na hii serikali.
 
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuchapishwa kwa fedha na kuzisambaza kwa ajili ya uchaguzi, huku baadhi ya watu wakihamasisha wananchi kuondoa fedha zao kutoka mabenki kwa madai ya uhaba wa fedha.

BoT imesisitiza kuwa taarifa hizo siyo za kweli na zinapaswa kupuuzwa. Kuchapishwa kwa fedha kunafanywa kwa mujibu wa Kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu, Sura 197, na kuziingiza kwenye mzunguko kulingana na mahitaji ya kiuchumi na kubadilisha fedha zilizochakaa zinazorudiwa na benki za biashara. Benki Kuu pia imeendelea kutekeleza Sera ya Fedha kwa ufanisi, huku mfumuko wa bei ukiwa chini ya wastani wa asilimia 3.3 kwa miezi 10 ya mwaka 2025, thamani ya shilingi ikaimarika kwa asilimia 8.8, na akiba ya fedha za kigeni kufikia Dola bilioni 6.7, ikikidhi uagizaji wa bidhaa nje kwa miezi 5.4.

Soma: Mange Kimambi adai Benki Kuu Tanzania (BoT) imechapisha pesa Makontena kwa Makontena (Money Printing)

Aidha, BoT imethibitisha kuwa mabenki yote nchini yanaendeshwa kwa kuzingatia sheria, kanuni, miongozo na viwango vya kimataifa, ukiwa na mitaji na ukwasi wa kutosha, faida endelevu, na kiwango kidogo cha mikopo chechefu (asilimia 3.3 Septemba 2025). BoT imewaonya wananchi kutohamisha fedha zao kutoka benki na kuzitunza nyumbani, ikisema utamaduni huo ni hatari na unaweza kupelekea wizi, kupotea au uharibifu wa fedha.

Badala yake, kutunza fedha benki kunalinda amana, kunalipia riba au faida ya mwaka, na kunasaidia benki kupata mitaji ya kukopesha wananchi. Benki Kuu pia inawaonya wote wanaosambaza taarifa zisizo sahihi mitandaoni waache mara moja, kwani uvumi huo hauna tija kwa maendeleo ya sekta ya fedha na uchumi wa taifa kwa ujumla.

View attachment 3489769
Serikali imesahau kuwa watu tumeisha ipuuza
 
Sijui ukweli au uongo wa habari hii.

Lakini wanaharakati wa Bongo wajiepushe na tabia ya uzushi.

Wanaoona kuwa uzushi ni mbinu ya uanaharakati wanajipotezea credibility tu.

Juzi nimeona habari ina trend X kutoka account ya Tanzania Leaks kuwa Rais Samia amemuweka chini ya ulinzi Jaji Joseph Sinde Warioba. Warioba amepigwa pini nyumbani kwake. Kwamba Jaji Warioba amepigwa marufuku kuongea na vyombo vya habari.

I had a feeling this was fake news.

Mimi huwa sipendi kuongea na rafiki zangu habari za siasa kwenye familia zao, lakini nikaona hili ni kubwa. Nikamtafuta rafiki yangu mmoja kwenye familia ya Warioba na kumuuliza hii habari kama ina ukweli wowote.

Akaniambia huo ni uzushi tu, hakuna kitu hapo, familia ipo salama na hakuna marufuku yoyote.

Nikasema that is what I thought.

Hakuna kitu watakachoandika Tanzania Leaks nitakachokikubali bila rigid verification.

Rumourville gone amok in silly season.
 
Ju,i nimeona habari ina trend X kutika account ya Tanzania Leaks kuwa Rais Samia amemuweka chini ya ulinzi Jaji Joseph Sinde Warioba amewekwa nyumbani kwake. Kwamba Jaji Warioba amepigwa marufuku kuongea na vyombo vya habari.

I had a feeling this was fake.

Mimi huwa sipendi kuongea na rafiki zangu habari za siasa kwenye familia zao, lakini nikaona hili ni kubwa. Nikamtafuta rafiki yangu mmoja kwenye familia na kumuuliza hii habari kama ina ukweli wowote.

Akaniambia huo ni uzushi tu, hakuna kitu hapo, familia ipo salama na hakuna marufuku yoyote.

Nikasema that is what I thought.

Rumourville gone amok in silly season.
Hili ni tatizo la Serikali wamejitengenezea, Taarifa mbaya na za uzushi huenea Haraka, na za makanusho huenea taratibu... Kibaya zaidi engagement ya habari za Utawala huu ni ndogo sana
 
Huyu gavana ni mwoga sana, hawezi kujitokeza kuongea na press tunamwangalia usoni kama anasema kweli

TOKA MAKTABA :
2022 AfDB annual meeting

View: https://m.youtube.com/watch?v=zBNik_gStH8
 
BOT niwatuhumiwa bila ya kuhojiwa na kuchunguzwa na taasisi huru nakutoa ripoti hawawezi kuaminika
 
Sijui ukweli au uongo wa habari hii.

Lakini wanaharakati wa Bongo wajiepushe na tabia ya uzushi.

Wanaoona kuwa uzushi ni mbinu ya uanaharakati wanajipotezea credibility tu.

Juzi nimeona habari ina trend X kutoka account ya Tanzania Leaks kuwa Rais Samia amemuweka chini ya ulinzi Jaji Joseph Sinde Warioba. Warioba amepigwa pini nyumbani kwake. Kwamba Jaji Warioba amepigwa marufuku kuongea na vyombo vya habari.

I had a feeling this was fake news.

Mimi huwa sipendi kuongea na rafiki zangu habari za siasa kwenye familia zao, lakini nikaona hili ni kubwa. Nikamtafuta rafiki yangu mmoja kwenye familia ya Warioba na kumuuliza hii habari kama ina ukweli wowote.

Akaniambia huo ni uzushi tu, hakuna kitu hapo, familia ipo salama na hakuna marufuku yoyote.

Nikasema that is what I thought.

Hakuna kitu watakachoandika Tanzania Leaks nitakachokikubali bila rigid verification.

Rumourville gone amok in silly season.
Mkuu hii mara ya pili naona hoja zako kutokana na huyo Tanzania leaks. Kwa nini unaamini jambo kutoka kwenye page ambayo hata mmilikk pengine humjui

Kuna maelfu ya fake accounts huku mitandoani kuanza humu jf, twitter, insta, Facebook n.k
Mtu anafungua account anaandika anachotaka, tatizo si yeye Bali ni wewe kuamini na kufatilia account ambayo hata mhusika hajulikani.

Mimi hata hizi story za Britannica huwa siziamini wala kuzifuatilia. Hata zile account za machawa zilizopo zenyewe pia siwezi zifatilia sababu ni uongo mtupu, unakuta kaandika Raisi katoa bil 500 wilaya ya tunduru, unakuta hata raisi mwenyewe hajui Kuna hiko kitu
 
Back
Top Bottom