HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,591
- Thread starter
- #21
Gold nayo walitegemea itafikia 2000/ounce ila hadi sasa bado,mafuta ndo yanakimbia chiniUSD anachukua hatua ila haiwezi kuwa mwaka huu, mwaka huu Dollar hata GBP zita suffer sana kabla hazijawa stable tena. Mfumuko na mdodo unapotokea hasa ya manchi makubwa huwa inachukua mda sana kurudi hali ya kawaida
Kama una hela ipo kwenye makaratasi nunua dhahabu, au kalime ndio itayokoa thamani ya pesa kwa sasa.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app