Benki kukopeshwa Trilioni 5,700 Marekani

Benki kukopeshwa Trilioni 5,700 Marekani

Thamani ya hela inapimwa na backup iliyopo nyuma ya hiyo sarafu.. USA miaka ya karibuni ali print mahela mengi sana pasipo kuwa na thamani halisi ya nyuma ya hayo makaratasi.. na yakapelekea mufumuko
The more you print the more...... Hivi kwann familia Ile ijimilikishe uchapishaji wa fedha za mataifa mengi na wasituache tu print kivyetu vyetu ?
 
Mdororo wa Mabenki ya Marekani hupelekea masoko ya hisa yote duniania kuumia.

Huko Asia mambo si mazuri
Screenshot_2023-03-16-10-13-56-786_com.fusionmedia.investing.jpg


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwamba wote bado wapo wodini

Ila Marekani anajithamini sana.

Mdororo wa Uchumi Tz utakuwa mbaya sana maana watu watakufa kwa presha

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
USD anachukua hatua ila haiwezi kuwa mwaka huu, mwaka huu Dollar hata GBP zita suffer sana kabla hazijawa stable tena. Mfumuko na mdodo unapotokea hasa ya manchi makubwa huwa inachukua mda sana kurudi hali ya kawaida

Kama una hela ipo kwenye makaratasi nunua dhahabu, au kalime ndio itayokoa thamani ya pesa kwa sasa.
 
The more you print the more...... Hivi kwann familia Ile ijimilikishe uchapishaji wa fedha za mataifa mengi na wasituache tu print kivyetu vyetu ?
Wana print sana hela na wanakuja kuzitakatisha huku kwetu kwa kusema ni misaada, ili tuziingize kwenye system kwa kununua malighafi .. africa ni sehemu ya kutatishia fedha za hao mabwenyenye
 
Back
Top Bottom