nimekua nikitumia crdb kulipia vitu online, lakini nimepata matatizo mara kadhaa, kila inapotokea shida na pesa kurudihwa basi ujue hiyo ndo imekula kwako, mfano ukinunua kitu ebay, badae seller anasema hatoship tanzanzania na anaamua kurefund pesa yote, ujue hiyo pesa ndo imepotea, ukicheck statement ya, say paypal, amabyo mi natumia unaona kweli pesa imerudishwa lakini hiyo pesa hautaina kamwe kwenye account yako
sasa, ni benki gani nzuri (ambayo mdau ametumia services zake na anarecomend) kwa kushop online?

Kwa ufupi Uswe haijala kwake, kwani pesa yake anasema ipo katika paypal account, cha kufanya ni kui-withdraw tu, au kufanya manunuzi mengine."ukicheck statement ya, say paypal, amabyo mi natumia unaona kweli pesa imerudishwa..."
Kwa ufupi Uswe haijala kwake, kwani pesa yake anasema ipo katika paypal account, cha kufanya ni kui-withdraw tu, au kufanya manunuzi mengine.
Bwana USWE habari za mchana .
Natanguliza salaam zangu sijui kama wewwe ni Dada au Kaka. Mimi ukiniita kaka au mdogo wako wa kiume siyo mbaya.
.
paypal wamerudisha besa crdb, imetokea several times, nimeandika barua crdb, na nimeattach statement yangu ya paypal, crdb wanasema wanachunguza lakini hakuna hata trn moja walorudisha hadi hii leo na moja kati ya hizo ni ya ya muda mrefu sana, zaidi ya miezi kumi!
hata leo nimemlipa mtu via paypal, inatoka kwenye account ya benki kwa sababu paypal wamerudisha pesa crdb