Benki Azania kutoa huduma kuzingatia kanuni za Kiislam

Kwanini ukope kama hauna uwezo wa kulipa?[/QUOTE]hatuzungumzii mkopo tu tunazungumzia mkopo wenye masharti kama riba au au na riba huelewi ni nn?
 
ila wanafuturisha kwa faida isiyotokana na misingi ya kiislam maana wao hawana riba je hapo wanafuturu kwa faida ya nani au ni hao mnaowaita makafiri hivi vitu ukiongea china wanakunyonga
 
Kwanini ukope kama hauna uwezo wa kulipa?
hatuzungumzii mkopo tu tunazungumzia mkopo wenye masharti kama riba au au na riba huelewi ni nn?[/QUOTE]

Wewe unamatatizo

Kikwajuni aliniletea hadithi za mtu kashindwa kulipa deni la mkopo wake,mimi nikamuuliza hiyo hadithi inanifundisha nini??
Wewe ukaleta hadithi zako pia sasa nikuuliza kwanini ukope(kwa riba)kama hauna uwezo wa kulipa?

Sasa hili uliloleta hapa sijui ni nini?,wewe unataka kunifundisha mimi kuhusu Mikopo na Riba!?
 
Hujitambui tupa kulee
hatuzungumzii mkopo tu tunazungumzia mkopo wenye masharti kama riba au au na riba huelewi ni nn?

Wewe unamatatizo

Kikwajuni aliniletea hadithi za mtu kashindwa kulipa deni la mkopo wake,mimi nikamuuliza hiyo hadithi inanifundisha nini??
Wewe ukaleta hadithi zako pia sasa nikuuliza kwanini ukope(kwa riba)kama hauna uwezo wa kulipa?

Sasa hili uliloleta hapa sijui ni nini?,wewe unataka kunifundisha mimi kuhusu Mikopo na Riba!?[/QUOTE]
 
"..We agree to disagree"hii si ndio signature yako??

Islamic banking ni kwa ajili ya kufadhili UGAIDI worldwide!
Utaumia,upate ugonjwa wa Moyo,hii kitu iko Dunia nzima,na nusu ya wateja wa benki hizi ni wasio waislam.Benki hizi ziko United State of America,United kingdom,Germany,RUSSIA,FRANCE,Nchi yenye asilimia 85 wakatoliki lakini wameikubali Islamic bank kama mkombozi wao.
Yasemekana mpaka Yesu atakaporudi duniani,binadamu asilimia kubwa watafuata sharia za kiislamu,kuanzia Halal Shops,ambazo zimesheenea nchi nyingi duniani,Islamic Banking,zimeshenea duniani,Islamic Insurerance,zimeshaenea duniani,Islamic Tradition Healing,zimeshaenea dunian,Islamic Transport,Islamic hospitals etc
 
Hiyo "hadithi" yako inanifundisha nini?
Kaa usubiri Hadithi yafundisha nini,wakati nusu ya wateja wa Islamic Banking,si waislamu duniani,Baada ya kugundua faida yake,ufaransa asilimia 85 ni wakatoliki lakini Islamic banks zina operate.
 
Utaumia,upate ugonjwa wa Moyo,hii kitu iko Dunia nzima,na nusu ya wateja wa benki hizi ni wasio waislam.Benki hizi ziko United State of America,United kingdom,Germany,RUSSIA,FRANCE,Nchi yenye asilimia 85 wakatoliki lakini wameikubali Islamic bank kama mkombozi wao.
Yasemekana mpaka Yesu atakaporudi duniani,binadamu asilimia kubwa watafuata sharia za kiislamu,kuanzia Halal Shops,ambazo zimesheenea nchi nyingi duniani,Islamic Banking,zimeshenea duniani,Islamic Insurerance,zimeshaenea duniani,Islamic Tradition Healing,zimeshaenea dunian,Islamic Transport,Islamic hospitals etc
Castles in the sky, lunacy at best/
 
france walipiga marufuku manguo yenu hayo
 
Zinajiendesha kibiashara kwa kupata faida,sio kwa kuchukuwa riba inayojizaa kila mda ukichelewa kulipa mkopo.
ukisikia uwongo ndiyo huu, faida inapatikana vipi bila riba, ungesema wao hawaiti riba wameipa jina lingine ningekuelewa. Ninachojua mimi ni kuwa hao jamaa riba ipo ila kwa jina lingine nisilolijua. Vinginevyo mishahara ya watumishi wanatoa wapi, gharama za kulipia bili za umeme, pango nk wanatoa wapi kama sio kutokana na riba:wave::wave:
 
Dah! Kheri ya mnyama kuliko kafiri.
Hivi na wewe umo kwenye orodha ya watu ambao wamefuta ujinga? mtu kama weeeeweee hata ukiulizwa kuna dini ngapi duniani hujui, unachojua ni kudharau watu wengine na kujiona ni bora kuliko watu wengine, THINK OUT OF THE BOX. Maandiko yenyewe ya kitabu chako huyafuati halafu unaleta dharau zako hapa. leo nimekwambia hapa, Siku nyingine nitakuPM
 
Back
Top Bottom