ajira ngumu
Member
- Dec 21, 2014
- 64
- 4
Naomba kuuliza ni benk gan au sacco gan nzur nifungue hapa dar ili niweke hela na nikope kwa mashart rahisi na riba ndogo nianzishe biashara!!ukimbukwe wakat nakopa xna biashara kama dhamana ndo kwanza naenda funguaa.