uwezo wako wa kumchambua Mkapa ndio umeishia hapo? au ulitaka kuanzisha thread tu
Mkapa ndiyo zaidi ya wote mpende msipende na bila yeye uchumi wenu ungekuwa mbuzi
chuakachara usomi wako una walakini,coz mada yenyewe ulivyoileta ni majungu,umbeaumbea,kinafiki,kwl kama we msomi unaweza kuleta hoja namna hii?we ni mweupe na mtupu sana kichwani,mwacheni mzee wa watu apumzike,TUMEWACHOKA NA CHUKI ZENU
Chuakachara wewe si mkweli na si mjuzi wa mambo. BWM ndiye aliyesimamisha imara uchumi huu ambao nyinyi nyote including CDM na awamu CCM ya 4 manafaidi. Azimio la Arusha kwenye awamu ya 1 liliua uchumi katika utaifishaji wa mtaji binafsi, soko huria lililofuata wakati wa awamu ya pili liliua kabisa uchumi. Leo hii makampuni yanayoongoza katika kulipa kodi na kuajiri waTanzania wengi ni yale yaliyouzwa wakati wa BWM. Big respect to Ben
Tunacholia ni jinsi ubinafsishwaji wa NBC ulivyofanywa kifisadi kwa bei ya kutupwa. NBC haikuwa na shida yoyote ilikuwa ni suala la utendaji tu. MBona CRDB ipo mpaka leo? mbona yenyewe haikuuzwa kwa makaburu? alipatikana mtanzania mwenye maono, serikali ikakaribisha wabia wazawa na mpaka leo inatoa ushindani wa kutosha. Postal Bank bado ipo. MKAPA NI FISADI WA KUTUPA NA SASA TUMEAMBIWA SIRI NYINGINE JUU YA KIFO CHA MWALIMU. hAKIKA SIKU INAKUJA TU NA HANA PA KUKWEPEA YEYE NA WENZAKE AKINA JK.
Chuakachara wewe si mkweli na si mjuzi wa mambo. BWM ndiye aliyesimamisha imara uchumi huu ambao nyinyi nyote including CDM na awamu CCM ya 4 manafaidi. Azimio la Arusha kwenye awamu ya 1 liliua uchumi katika utaifishaji wa mtaji binafsi, soko huria lililofuata wakati wa awamu ya pili liliua kabisa uchumi. Leo hii makampuni yanayoongoza katika kulipa kodi na kuajiri waTanzania wengi ni yale yaliyouzwa wakati wa BWM. Big respect to Ben
NBC ya sasa ni bora kuliko ile ya miaka ya 1967- 1997 kwa kuwa sasa mwananchi yeyote mwenye proposal yake nzuri na asset ya ku morgage anaweza kupata mkopo ndani ya siku 5. Ile ya zamani walikuwa ni wanasiasa wachache na wafanyabiashara maarufu kama kina R Mengi na Iddi Simba ndiyo walikuwa wanaaxcess mikopo na wakawa hawarudishi. NBC ya sasa inalipa kodi kila mwaka kuchangia pato la Taifa wakati ile ya mwaka 1997 ilikuwa inapewa ruzuku kila mwaka na hazina. NBC ya sasa inatoa ajira kwa transparency na ina zidi kufungua matawi mpaka mitaani mwetu.
Chuakachara musipende kushabikia mambo tu ali mradi mmesikia wanasiasa wanaropoko majukwaani, fanyeni na nyinyi utafiti kidogo. Mwalimu JKN alitaifisha njia kuu za uchumi na kuziweka mikononi mwa umma ". Lakini viongozi wa mashirika yetu au kwa kukosa elimu au kwa makusudi waliua yale mashirika. Iko wapi AISCO, BIT, HOSCO, RTC, GAPEX , Meya Textile Mwatex, Musomatex?
Nimekutajia mashirika yale tu ambayo yalishakufa kabla hata BWM hajaingia madarakani
Sasa nimeamini JF imeingiliwa na makanjanja wa siasa na taaluma.Kuna umuhimu wa mtu kubainisha yafuatayo kabla hujaamua kumchambua mtu humu
1. Matendo yake versus hali ilivyokuwa
2. Ungekuwa ni wewe kwenye viatu vyake ungefanyaje(just to be fair)?
3. Je maada unayoanzisha iko fair na balanced au inalenga kumchafua tu mtu tena kwa mtindo wa majungu?
4. Je maada unayoanzisha ina mafunzo yoyote kwa jamii au inaelezea namna ya kumchukia mtu?
5. Umechambua vya kutosha Taifa lilitaka nini kipindi hicho versus mazingira na hali ya siasa ilivyokuwa?
Ni vyema kuanzisha uzi ulio fair and balanced ili kuruhusu watu kupata elimu na kuchambua baya na zuri kuhusu mtu au matendo yake mtu.
We wasema!! Mkapa yupo kwenye list of SHAME!!! Uchumi sawa uliimarika but at the expense of kuuza nchi kwa wageni!! Wapi benki zetu, NBC ilikuwa na tatizo gani etc. Wapi Kiwira, wapi nyumba za serikali etc. We wasema!!!!!!!!!!!!!

Na nyie msiwe mnapenda kuwachanganya wananchi akili. Msipende kutoa takwimu zisizokuwa na maelunzoezo. Wewe unadai NBC ya sasa inalipa kodi well and good. Mbona hutuambii ili walipe kodi ni kwa gross au net? Nijuavayo kodi inalipwa baada ya kutoa matumizi yote-hapa ndio kuna matumuzi ya likizo uchwara ambapo mtu anapewa masurufu ya yasiyohesabika, matumizi ya warsha, promotions, mafunzo, assets na vitu vingi kama hivi. Unakuta kiasi kidogo kinachobaki ndicho wanalipa kodi serikalini. Je kiasi gani wametuibia hapo?
Pili Tanzania sio Dar es Salaam. Huo mkopo unaosema unatoka siku tano naona ni kwa Dar kuliko na matawi kibao na mkoa ni mdogo kwa kuweza kuutemebelea siku nzima na kuumaliza. Vipi maeneo ambayo ni makubwa na miundo mbinu hafifu na banki iko makao makuu ya wilaya au mkoa. Wana faida gani na benki hiyo. Na mkopo wa siku tano unaply online, wadhamini wanatambuliwa online? hakuna collateral security? interest ikoje? Ushasema asset ya morgage unawaongelea watanzania wangapi hata ni wa mjini wakati much of their assets ni informal?Too sweet to be true.
Na ili uboreshe benki natakiwa kuiuza. He had an opportunity to do reforms na kuwandaa Watanzania wawekeze kwenye benki yao sio kuigawa sawa na bure. Mbona CRDB haikupigiwa kelele? Ni kwa sababau wananchi walipewa ownership on transparent manner. Lakini kwa NBC kupelekwa kwa speed ya radi ndio maana watu wanatia shaka.
We wasema!! Mkapa yupo kwenye list of SHAME!!! Uchumi sawa uliimarika but at the expense of kuuza nchi kwa wageni!! Wapi benki zetu, NBC ilikuwa na tatizo gani etc. Wapi Kiwira, wapi nyumba za serikali etc. We wasema!!!!!!!!!!!!!
Ukiimarisha uchumi ndio unaruhusiwa kufanya uhujumu uchumi? ndio sheria za nchi hii na katiba inavyosema. Come on Mkapa kafanya mambo mia moja kidogo mabaya kwa taifa hili na Nyerere huko aliko atakuwa anasikitika kama si kumlaani. Alianzia NBC, akaenda Tanesco, achilia mbali migodi, then Kiwira na mengi mengi mabaya kabisa, alitajwa kwenye list of shame ya watu 11 maadui wa nchi hii mbona hakukanusha kwa hoja zaidi ya matusi tu kama mipasho? Mkapa is worst of all
Unataka kuniambia utendaji wa NBC wa miaka ile na sasa ni sawa???