Benjamin Rusungu wa mambo jambo apata ajari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benjamin Rusungu wa mambo jambo apata ajari

Discussion in 'Celebrities Forum' started by King Kong III, Feb 4, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Msanii na producer al-maarufu kama benja wa mambo jambo kuna tetesi amepata ajali

  Sos:EA Radio lakin bado haijathibitishwa

  NB:kama amepata ajali leo,hii itakua ya pili ndani ya wiki hii,mara ya mwisho alipata mwishon mwa january 2012 alidondoka na gari mtaroni akachanika kidole na kama hii ya pili ina maana anaendesha gari bila kua na uzoefu au uzembe?
   
Loading...