Tatizo hapa Watanzania wengi hatujazoea kuwa na watu walio na uwezo wa kuzungumza vizuri ndio maana wengi mnakuwa mko impressed naye. Kwenye nchi zilizoendelea angekuwa anaonekana ni wa kawaida sana.
Na kikwete amekuwa waziri ya mambo ya nje kwa muda gani?
Tatizo hapa Watanzania wengi hatujazoea kuwa na watu walio na uwezo wa kuzungumza vizuri ndio maana wengi mnakuwa mko impressed naye. Kwenye nchi zilizoendelea angekuwa anaonekana ni wa kawaida sana.
Sasa ndugu Omega mbona unazungumzia nchi zilizoendelea, kwani sisi ni moja kati ya nchi hizo?
Tulinganishe na nchi zilizokuwa size yetu na uwezo wa marais kujenga hoja zenye nguvu kwenye majadiliano ya kimataifa.
Kwani uwezo wa kujenga hoja wa mtu binafsi na maendeleo ya taifa vina uhusiano gani?
\Ila anatumia maguvu sana kuongea na kutoa hoja zake. Damn
Watanzania hatuitaji waongeaji mafisadi, tunataka watendaje wasio wabinafsi, Mkapa nifisadi mkubwa na kesi yake inaandaliwa, mtapata shida sana mnaotaka kumsafisha kwa hila zote
Tanzania inahitaji kiongozi imara mwenye mwelekeo asie na ubinafsi. Mkapa atachapwa bakora na watanzania akitembea mitaani watu wanahasira nae sana

Huyu Mzee Ben confidence yake ni 100%! Na amefanya mambo makubwa sana kwa nchi hii: Just imagine: Kujenga barabara kwa fedha zetu za ndani, alianzisha TRA ambayo imeendelea kukusanya mapato mengi, amejenga uwanja wa mpira, alianzisah TASAF ambayo imeleta maendeleo makubwa sana vijijini, alianzisha MMEM ambayo imeleta maendeleo makubwa sana ya Elimu ya Msingi, alijenga daraja kubwa sana (maarufu kama daraja la Mkapa), nk. Hivi JK kwa miaka mitano aliyopewa amefanya nini wakati anaimalizia miaka hiyo?
thank youNimeinyaka video ya mahojiano (mwaka 2001) kati ya Mhe. Mkapa na kile kipindi cha BBC HardTalk.
Kweli hii ilikuwa "HardTalk" kwani jamaa walimbana acha.
Waweza kuitazama kupitia link hii:
http://news.bbc.co.uk/olmedia/cta/progs/01/hardtalk/mkapa31jan.ram
You need Real Player. Download it here if it is not installed in your PC:
http://software-download.real.com/0...ubinst/stub/rp12/R51RP01/RealPlayerSPGold.exe
Mkapa ni kifaaa..Uwezo wake binafsi kiakilii ni ngao tosha katika kujiamini kwake.
Uongozii wake bado utaendeleaa kubakia alama ya msingi wa maendeleo ya taifa hilii.