Benjamin Mkapa amteua Prof. Mubofu kuwa Makamu Mkuu wa UDOM

Haya wanapeana tuu ajira vijana tupo kitaa tuu
Sisi vijana tumegeuzwa mtaji wa kisiasa. Na ndio Maana tunatumiwa kipindi cha uchaguzi baada ya apo tunaachwa solemba. Na wakati nchi kama China wanawatumia vijana katika Tasnia ya maswala ya technology
 
Bavicha wanawatumia humu mitandaoni na kwenye maandamano
 
Si kweli wengi wa Ma-VC Tanzania ni ma-Associate Professor (Mukandala, Anangisye, Mubofu) wakati rank ya juu kabisa chuo kikuu ni Full Professor

Naomba nikusahihishe kuwa Prof Mukandala amekua full professor miaka kadhaa kabla ya kuwa vc
 
Back
Top Bottom