Kufundisha ujasiriamali ndo ujasiriamali wenyewe mkuu,wacha ale vichwa.mi naanzaje kwenda kufundishwa mafanikio na mboga saba aliyezaliwa akakuta mafanikio,labda anifundishe style aliyotumia baba yake kupiga pesa za wanakondoo wa agapeMe ndio nilishakaa mtu anakufundisha ujasiriamali wakati yeye sio mjasiriamali na hujawah kufanya
Ni kwa mwakaMil 400 kwa mwezi hebu acha utani mkuu hiyo ni kwa mwaka
Kwa kweli umejua kujieleza Benjamin. Relax it''s not a competition of influence and u didnot understand my point. U have to be confident enough to actually teach if ur going teach than reminding us that you went to harvard and Stanford u have to stop with the 400 million story because no one buys it. Self promotion is good but many feel you are disrespecting their intelligence. Promote your initiatives your passions let people learn what you learn...u don't have to defend your shortcomings we are human...this thread was to show you that no one is buying your self promotion...focus on ur initiative like the financial tech company. Self promotion actually kills your whole agenda and makes you look like a fad. Your a brilliant young boy I think. Change that aspect of yourself... Obama was the first black president nowhere in his speeches did he ever remind people that he was smarter or convince people he was more important.but guess what, he was...he went to two ivy league schools dude was brilliant ila hujawahi kumsikia jamaa anajitamba.. Telling us ur the first Tanzanian this or that doesn' give you credit...change this aspect of yourself and u will prosper.Nahitimisha kwa kusema samahani kwa makosa ya uandishi utakavyoona kwenye posts .hii una urefu wake Zaidi hasa samahani Selwa Kama nimekijibu vibaya
Mbona tips nzuri tu ila wabongo mmeshaanza majunguTips zake za mafanikio ET ndio hizo View attachment 751324
Kumbe yule mzee mdosi ndio alikua mshua wake?Yaani hii kukataa mshahara ndo imekuwa wimbo kwake, kila seminar
Ni mtoto wa mchungaji Fernandez nilikuwa namuona kwenye channel ya ATN sijui kama siku hizi bado ipo
Kumbe yule mzee mdosi ndio alikua mshua wake?
Sawa mkuu nimekupata...Ndio na yule mama mchungaji ndo mama yake
Spelling and grammatical errors and typos kibao. Au ndiyo English ya "Princenton? Hakuna kitu kama "patrioticness". Ni "patriotism". Mzee, hiyo "Princenton" unayodai umeenda seminar itakuwa Online University out of Kosovo. Degree mill, so to speak.Kwa kweli umejua kujieleza Benjamin. Relax it''s not a competition of influence and u didnot understand my point. U have to be confident enough to actually teach if ur going teach than reminding us that you went to harvard and Stanford u have to stop with the 400 million story because no one buys it. Self promotion is good but many feel you are disrespecting their intelligence. Promote your initiatives your passions let people learn what you learn...u don't have to defend your shortcomings we are human...this thread was to show you that no one is buying your self promotion...focus on ur initiative like the financial tech company. Self promotion actually kills your whole agenda and makes you look like a fad. Your a brilliant young boy I think. Change that aspect of yourself... Obama was the first black president nowhere in his speeches did he ever remind people that he was smarter or convince people he was more important.but guess what, he was...he went to two ivy league schools dude was brilliant ila hujawahi kumsikia jamaa anajitamba.. Telling us ur the first Tanzanian this or that doesn' give you credit...change this aspect of yourself and u will prosper.
1. U interned at bill and melinda gates
2. U make ur own wikipedia pages
3. Not all Stanford graduates are paid that hahaha ha I know so hahaha there many unemployed stanford
Graduates stop promoting possibilities
4.u dont need to prove to anyone that ur special u don't need to prove ur elf at all
5. Let's be realistic agape ni TV ya baba can we rili give him props for being a presenter there?
6. Hamna anaemshika masikio...but hamna anaemwamini aidha ..sasa ukiambiwa badilika assess yourself au ndugu unataka kugombania ubunge?
7. Ebu kuwa serious Benjamin. ...unataka kutuambia wewe na kabendera kako ndo umehimiza watalii kuja Tanzania . Kuna mabalozi wangapi kuna wizara ngapi zina fanyakazi day and night Leo wewe useme unahimiza utalii coooome on...ndo huu ujiko tunaokuambia uuuache. you dont have to prove your patrioticness... Kwa hiyo wewe ndo umemconvince tyra kuja Tanzania? Na Bill gates je? Kuwa serious Benjaa ..Na pia hao watu wa umeme si uliwaonesha tu sehemu ya kwenda kama guide..Na hata huko tumbatu hukutafuta eneo wewe mbona tunajua. But the point of this is not to embarrass you ila to show you that people know more than you think so don' underestimate people's knowledge and talk anyhow
[emoji16][emoji16][emoji16]Kwa kweli umejua kujieleza Benjamin. Relax it''s not a competition of influence and u didnot understand my point. U have to be confident enough to actually teach if ur going teach than reminding us that you went to harvard and Stanford u have to stop with the 400 million story because no one buys it. Self promotion is good but many feel you are disrespecting their intelligence. Promote your initiatives your passions let people learn what you learn...u don't have to defend your shortcomings we are human...this thread was to show you that no one is buying your self promotion...focus on ur initiative like the financial tech company. Self promotion actually kills your whole agenda and makes you look like a fad. Your a brilliant young boy I think. Change that aspect of yourself... Obama was the first black president nowhere in his speeches did he ever remind people that he was smarter or convince people he was more important.but guess what, he was...he went to two ivy league schools dude was brilliant ila hujawahi kumsikia jamaa anajitamba.. Telling us ur the first Tanzanian this or that doesn' give you credit...change this aspect of yourself and u will prosper.
1. U interned at bill and melinda gates
2. U make ur own wikipedia pages
3. Not all Stanford graduates are paid that hahaha ha I know so hahaha there many unemployed stanford
Graduates stop promoting possibilities
4.u dont need to prove to anyone that ur special u don't need to prove ur elf at all
5. Let's be realistic agape ni TV ya baba can we rili give him props for being a presenter there?
6. Hamna anaemshika masikio...but hamna anaemwamini aidha ..sasa ukiambiwa badilika assess yourself au ndugu unataka kugombania ubunge?
7. Ebu kuwa serious Benjamin. ...unataka kutuambia wewe na kabendera kako ndo umehimiza watalii kuja Tanzania . Kuna mabalozi wangapi kuna wizara ngapi zina fanyakazi day and night Leo wewe useme unahimiza utalii coooome on...ndo huu ujiko tunaokuambia uuuache. you dont have to prove your patrioticness... Kwa hiyo wewe ndo umemconvince tyra kuja Tanzania? Na Bill gates je? Kuwa serious Benjaa ..Na pia hao watu wa umeme si uliwaonesha tu sehemu ya kwenda kama guide..Na hata huko tumbatu hukutafuta eneo wewe mbona tunajua. But the point of this is not to embarrass you ila to show you that people know more than you think so don' underestimate people's knowledge and talk anyhow
Tatizo tunasomea ajira. mimi huwa na wapenda watu kama kina bill gates walisoma na fact sio unatoa elimu ya entrepreneurship wakati huna hata duka unaondoa communicator credibility na ningumu sana kuchange attitudeKuna seminar moja nimeattend hapa mjini nikamkuta huyu kijana kaalikwa akaongea kwa kiasi chake tena kwa confidence ikabidi nimsearch gooogle ndo nikakutana na haya..
alivooongea tu nkaona kitu kimoja Kwanini vijana wa Kitanzania tunapenda ujiko kuliko kazi, ni shida sana kwetu. Huyu jamaa aliongea kidogo nikanote hicho, Sidhani kabisa kama ni Mtanzania wa kwanza kusoma Harvard maana mtoto wa karamagi anasoma Harvard na kuna watanzania kibao hapo...Harvard, Princenton na Standford kuna mwaka nilikaribishwa na waTanzanzania wa Princeton nilivoenda kuattend seminar flani kikazi.. na ukisoma hizo shule unapewa internship kwenye kampuni za alumni ambae Gates ni Alumni... Pia ukipewa scholarship yeyote ya marekani na state lazima urudi Tanzania miaka miwili kuimplement ulichojifunza...ila maujiko ya huyu kaka sio ya dunia hiii sio kitu cha kutamba kwamba umemaliza harvard stanford...SO what? Mimi kama mtanzania nanufaika nini na hilo? wapo watu wamesoma no. 1 engineering college in the world na kazi mpaka leo hawana.
Sasa na kama Benja na entrepreneurship skills training anafanya..sasa unamtrain nani na wewe entrepreneurship bado hujaingia?
Vijana wa kitanzania mliofika mbali inabidi muwe makini sana na matendo yenu msitumie kupotosha watu au kuuza sura. Taifa linawategemea. Kama Benja yuko very smart am sure anaweza anzisha kitu kuajiri vijana na kuwamotivate au kusolve tatizo la ajira. Hampewi scholarship au hampelekwi kusoma ili mrudi kusema mlisoma, mnapelekwa mrudi mlete mambo mapya mfungue biashara msaidie jamii zinazowazunguka, leteni maendeleo jamani fungueni dunia kwa vijana wenzenu. Muwe mifano.. haitoshi kwamba mlisoma..tumieni elimu yenu... hata kwenye ajira.
Benjamin Fernandes
Benjamin Fernandes speaking at Harvard Business School
Born 25 November 1992
Residence Dar es Salaam, Tanzania
Nationality Tanzanian
Alma mater University of Northwestern - St. Paul (B.A.) Stanford Graduate School of Business (M.B.A.) John F. Kennedy School of Government (Exec.)
Occupation The Bill and Melinda Gates Foundation
Awards Africa MBA Fellowship, MBA World Summit, Top 15 Most Influential Tanzanians
Benjamin Fernandes (born 25 November 1992) is a Tanzanian award-winning speaker and national television personality. He worked at The Bill and Melinda Gates Foundation in the United States in their Digital Team and Financial Services team. He is the first[1]Tanzanian to attend Stanford Graduate School of Business as an Africa MBA Fellow [2] and the youngest African to ever be accepted to Stanford Graduate School of Business. In 2017, Fernandes became the first Tanzanian in history to attend both Stanford Graduate School of Business and Harvard John F. Kennedy School of Government for an executive education program
In 2016, Fernandes worked at the Bill and Melinda Gates Foundation in Seattle, Washington before returning to his final year of business school at Stanford Graduate School of Business.[13]
On June 17, 2017, Fernandes graduated from Stanford Graduate School of Business and decided to return home to Tanzania. A decision that stunned many Tanzanians given his potential salary offerings in the United States. Stanford Graduate School of Business has the highest post MBA Salary than any other school in the world. In the year 2016, the lower average salary offering for a graduating student in 2016 was TSH 418 Million ($179,346).[16] This decision to return home was covered all over the press in Tanzania, initially through a viral interview video by MillardAyo,[17] mentioning his potential salary offerings he could've gotten in the United States which was shared across the country, then making the front page of national newspaper, Mwananchi.[18]
From the 7 Africa MBA Fellows of the Stanford MBA Class of 2017 class, Fernandes is the only African who has decided to return home to his home country immediately full-time.
Fernandes has made a commitment to serving Tanzania with interest in financial services and supporting Tanzania’s young and youthful population.
Since returning home, within 200 days, Fernandes has held 26 seminars on entrepreneurship in 4 different regions across Tanzania, with over 22,000 people in cumulative attendance.[
naona dogo benjamini umeamua kuja kivingine na masifa yako umezunguuuka sijaona cha maanaSWALA LA MWISHO NI SWALA LA MSHAHARA.
Tambueni kwamba Benjamin anaamini pesa kwake sio kipaumbele
Hili kaliweka wazi Mara nyingi tu
View attachment 784108
Fuatilia interview zake zote alizofanya hapa akielezea kuhusu swala la mshahara
1. Clouds360
2. Times Fm
3. Ayotv
4. Au hi hapa ya Bongo5
Kaelezea vizuri tuu. Na hili swala la mshahara wa mamilioni Ni kawaida Sana kwa Kila mhitimu wa pale Stanford. Kwa mwaka 2016 tuu mshahara wa wastabni kwa mhitimu wa Stanford nilikuwa Ni $179,346 ( Kama 400,000,000 Tzs) soma hapa
All-Time Record Pay For Stanford MBAs
Offer ya Zaidi ya mshahara huo Kutoka kwa Bill gates na makapuni mengine vyote alivikataa na kuamua kufanya kile ambacho kwake Ni sahihi Sasa wewe usijifanye unamshikia kichwa Wala akili Benjamin kumpangia maisha. Ni muda wa kumsupport kwa Yale mazuri anayofanya na kumshauri ama kutoa maoni. Papo sawa mzee