Mei 17 tunachukua kombe la mfalme Spain na 18 tunaua mnyama week end inaisha kwa raha kabisa. Ila kama kweli Mourinho anakuwenda Chealsea ana kazi kubwa ya kulinda rekodi ya mwaka jana na mwaka huu.
Mei 17 tunachukua kombe la mfalme Spain na 18 tunaua mnyama week end inaisha kwa raha kabisa. Ila kama kweli Mourinho anakuwenda Chealsea ana kazi kubwa ya kulinda rekodi ya mwaka jana na mwaka huu.
Ni kweli mkuu mechi imepoteza ladha, ila ni bora tuchukue ili Mou aondoke kwa heshima kuwa misimu yote alipata kikombe. Sijui hatma ya timu itakuwaje msimu ujao, ila kwa kuwa Barca nayo imepungua makali mambo yanaweza yasiwe mabaya sana.
Haya ma2nda yanawekwa na kuwa na wahispanionala eg Benitez kaweka heshima kubwa naamini kuna methali 1 wahenga walisema shujaa/nabii hathaminiwi au tenda wema nenda zako usingoje shukrani anawaachia timu rekodi daima watamkumbuka kama Livefool ambayo toka aondoke hawajashiriki tena UCL,kingine Torres na Mata wanawazidi hata wakitajwa wenye medani ya kombe eg ulaya au dunia ni wao pekee tu ndio watatoka mbele so mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,ni hayo tu napita ila nadhihirisha bado waspain wapo juu,j1 ijayo nategemea Javi Martinez mchezaji pekee ktk final UCL siku hiyo ya j1 tarehe 25 mei @wembley aliebeba kombe la dunia atawaongoza wenzake kubeba UCL kama alivyowaonyesha mbinu jinsi ya kuwabana waspain wenzake anaowajua ktk La Furia Roja Xavi na Iniesta.