"Dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu, ukianza huwezi kuacha. Na mimi naomba, na Mwenyezi Mungu anisamehe, iwamalize" Julius Nyerere (2005).
Wanabaguana ndani ya Kinchi cha watu 6 million
Nyerere yupi huyu aliyekuwa mbaguzi na mchoyo? (amekufa kabla hajaizamisha zanzibar kwa chuki zake)
Btw..Zanzibar watakuwa wamoja kuliko unavyofikiri wakashaacha kugawanywa na Tanganyika kutoka viako vya DODOMA na BUTIAMA lol
Labda utasikia majimbo Tanganyika kama cdm inavyonadi ..unajua kitakachofuata baada ya majimbo go forbid chadema wasishike Tanganyika lol
"Miafrika ndivyo tulivyo" [Kwa hisani ya Nyani Ngabu]"Dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu, ukianza huwezi kuacha. Na mimi naomba, na Mwenyezi Mungu anisamehe, iwamalize" Julius Nyerere (1995) Wanabaguana ndani ya Kinchi cha watu 6 million
Nyerere yupi huyu aliyekuwa mbaguzi na mchoyo? (amekufa kabla hajaizamisha zanzibar kwa chuki zake)
Btw..Zanzibar watakuwa wamoja kuliko unavyofikiri wakashaacha kugawanywa na Tanganyika kutoka viako vya DODOMA na BUTIAMA lol
Labda utasikia majimbo Tanganyika kama cdm inavyonadi ..unajua kitakachofuata baada ya majimbo go forbid chadema wasishike Tanganyika lol
acha we,nyerere angekua na nia ya kuibagua zanzibar asingeisaidia kakta mapinduz..coz haiifadshi bara chochote ..ila sishangai coz watu mlio na asili ya waarabu ndivo mlivo..
libya haiwezi kukaa sawa tena,ardhi yao imejaa damu isiyo na hatia,