Bendi za muziki wa Tanzania ndio basi!!!!!

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Hebu kumbuka enzi zile za La Paloma Jazz, Cuban Marimba, Morogoro Jazz, Les Cubano, Vina vina Orchestra,nuta jazz,vijana jazz,sikinde, Sukari Jazz, Kilombero Jazz, Malinyi Jazz, Kwiro Jazz, Mahenge Jazz, Kilosa Jazz, Les Cuban Atomic Jazz, Jamhuri Jazz, Tanga International, Amboni Jazz, Bandari Jazz, Watangatanga, Lucky Star, Black Star hizi zote zikiwa ni kutoka mikoa ya Tanga na Morogoro na dar pekee lakini zilikuwa zinatamba na kujulikana nchi nzima.
Nawashukuru sana tbc fm kwa kuendelea kutupigia hii miziki,nawashukuru hata radio free Africa kwa kujitahidi sana kuipiga.
Naomba waziri anayehusika na mambo ya michezo ajitahidi sana kufanya kitu ambacho kinaweza kusaidia mziki wetu usipotee,
Naomba tbc ikiwezekana walazimishwe kuendelea kuipiga hii miziki kila kukicha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom