Pengine nikuongezee uwanda kufikiri..Sasa hivi hata akina Membe na wengine km Pinda na wengine sidhani km wanaridhika kihivyo kupigwa bao kirahisi na magufuli..nao sidhani km hawatashusha bendera za CCM ..tenda mbaya sana ni kwamba Membe anakwenda pigwa tena bao na Nape...?ipo kazi.Wengi watahujumu kw akujificha nyuma ya Fikra kwamba ni Lowasa ndie shida.mkuu mimi siko huko lakini nachokwambia ni kile ninachokiona kinafanyika haiwezekani watu wanasema wanamkubali sana magufuli lakini wanasema kwa kuwa ameondolewa mtu wao hawatani tena na wengine wakifanya hivyo nchi nzina itakuwaje?
Hahahah nimecheka sanaKanda ya ziwa hatutaki kabisa kuisikia ccm bora huko kaskazini na hii ya kutugawa kikanda na kikabila tumewashtukia mtaota mbawa
Tumeifuta ccm kanda ya ziwa na sasa tunaimalizia tu mabaki yake. RIH ccm
Lazima umtaje ZittoKwani si ndie misemo mliwafundisha CCM on the way..kuwa ingawa sijui mimi ni sijui ni Mkristu ila ktk hili..ingawa mimi ni Mchaga ila ktk hili, ingawa mimi ni CCM ila kwa hili la Zitto na CDM ....Ingawa mimi ni CDM ila ktk hili....Lowasa ne alidhani issue ni kwa Wachaga na CDM tuu ndie maana hakuona km ukanda ulimhusu sasa watu wake ndio wanaamka na wanakumbuka alichoongea Mtoto wa mfalme na hadi sasa anajisifu kwa hilo.
We kinkuuma nini unalipia kodi akitajwa?Kamuulize km hapendi tajwa?Lazima umtaje Zitto
lengo la mengi limetimia, naomba na wa kanda ya ziwa futeni upinzani ,tuone hawa jamaa naka nao lakini siasa zao ni ukanda ukabila wako tayari hata maiti aongoze nchi madamu anatoka kwao,
na kanda ya ziwa zinaisha mwaka huu tuone,
Jamani, mbona watu tunajitia wazimu hivi hivi?? Ni nani mmbeya hapa? Kusema Makofuli kaanza kampeni mapema ni umbeya?? Walifanya kampeni ya kufa mtu kwa mbwembwe za kusaka wadhamini na kuchukua form na kurudisha fomu, sasa mzee Lubuva ndo unajifanya kuangalia upande mwingine??
Kama kweli hii ni tume huru, chukua hatua. Mkate huyo Makofuli au mpe hata onyo. Kila kinyume kifanywacho na ccm hakionekani, ila akijaribu kufanya chema, CDM kinaitwa uvunjifu wa amani.
Mkamtandika Lipumba ka Jizi na kumkalisha chini kwenye gari la wazi kuuonesha ulimwengu. Kisa, ati kuandamana kwa amani. Mijizi imeonekana na hatia kabisa kuiba mali za serekali, mnaipa kiti cha kukalia kwenye lile lile gari mlilompakia Lipumba. CCM mna mambo nyiye we acha tu. Nisameheni, nawaza tuuu