Bendera za CCM zaiteka Arusha

Hahahaaaa.....bendera tena? Mwaka huu ccm itatengeneza vichekesho vingi sn
 
Ni wazı kwamba Magufuli atapata wakati mgumu sana kupga kampenı Arusha na Kılımanjaro.Lakinı wenyejı wanatakiwa kuwa makini wasilete fujo ambazo zitajenga feelings za uzalendo kuendana na maeneo watokayo wagombea.

mbona mnapenda sana kuhusisha mgombea na ukanda? Hapa AR CCM ilisha kataliwa siku nyingi hata kabla ya ujio wa Lowasa.
 
Mweleze ukweli Arusha sisi sio wana taarabu bendera zenu tunaziona kama feni tu. Acheni zitupepee kipindi hiki cha jua kali. Baadaye zitageuka madekio ya kudekia barabara EDO apite.
 
Bendera zenyewe zinapandishwa usiku!!! Vijana wanapewa mtonyo ndio wanazipandisha!!! Hahahahahaaaa

Mimi nimeshuhudia ni wapiga debe wanaziweka usiku baada ya kununuliwa konyagi feki
 
Mweleze ukweli Arusha sisi sio wana taarabu bendera zenu tunaziona kama feni tu. Acheni zitupepee kipindi hiki cha jua kali. Baadaye zitageuka madekio ya kudekia barabara EDO apite.

2010 Bendera za Chadema zilikuwa kwenye kila hiece inayotoka Stand ndogo mwaka huu hakuna anayezitaka.
 
mbona mnapenda sana kuhusisha mgombea na ukanda? Hapa AR CCM ilisha kataliwa siku nyingi hata kabla ya ujio wa Lowasa.

Mbaya zaidi ni kwamba CCM imerejea baada ya chadema kusaliti harakati za kweli za wananchi wa Arusha.
 
Vita vya nini mkuu?
Wale vijana mliozowea kuwaweka mbele kams kafara hawataki ujinga tena.
Mbowe anakula hela wao wanapata vilema vya maisha.
 
Ni mkakati wa kipekee wa Timu ya kampeni ya CCM jijini Arusha.Bendera za CCM zimesambaa Arusha nzima hasa hasa barabara ya Moshi-Arusha.
Ni kweli ziko maeneo mengi ya mji ila hiyoo haimaanishi kuwa ccm ndio kila kitu hapa,wasubirie oct 25 tu ndio tutaoata majibu halisi ya nn maaana ya kuwa na bendera mingi hvyo
 
Yani kweli fisiem uwezo wa kufikiri ni kama kuku yani unasema eti bendela zimeteka yani akili hamna aiseeee poleni ila mumchelewaa
 
Lema amefanya mikutano wapi zaidi ya Soko kuu na Stand ??
 
Ni mkakati wa kipekee wa Timu ya kampeni ya CCM jijini Arusha.Bendera za CCM zimesambaa Arusha nzima hasa hasa barabara ya Moshi-Arusha.

Kupata kichekesho kingine kama hiki, andika neno IT MASAKI tuma kwenda 15767.
 
Ni mkakati wa kipekee wa Timu ya kampeni ya CCM jijini Arusha.Bendera za CCM zimesambaa Arusha nzima hasa hasa barabara ya Moshi-Arusha.

Zile bendera za ACT mmetoa sasà mmerudisha za kupitishia tembo.
Uko arusha ipi kijana wa kitengo cha IT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…