Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,184 Oct 16, 2010 #1 Jamani wana JF. Leo majira ya asubuhi nimeona kitu cha ajabu. CCM wamethubutu kutundika bendera za chama chao kwenye yadi ya makaburi ya wafu pale maeneo ya Buguruni. What is the meaning of this?
Jamani wana JF. Leo majira ya asubuhi nimeona kitu cha ajabu. CCM wamethubutu kutundika bendera za chama chao kwenye yadi ya makaburi ya wafu pale maeneo ya Buguruni. What is the meaning of this?
M MjengaHoja Member Joined Sep 23, 2010 Posts 12 Reaction score 1 Oct 16, 2010 #2 mi nahc walijua mtu kama wewe ukipita utapata ujumbe na si vinginevyo....
Ng'wanangwa JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 10,827 Reaction score 4,184 Oct 16, 2010 Thread starter #3 MjengaHoja said: mi nahc walijua mtu kama wewe ukipita utapata ujumbe na si vinginevyo.... Click to expand... Vipi kama ukipita wewe?
MjengaHoja said: mi nahc walijua mtu kama wewe ukipita utapata ujumbe na si vinginevyo.... Click to expand... Vipi kama ukipita wewe?
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,355 Reaction score 39,828 Oct 16, 2010 #4 Wanajiandalia nafasi ya kuongoza wafu maana hatima yao ni 31 oktoba. hawawezi kushindana hata na saikolojia zao veri veri poooor
Wanajiandalia nafasi ya kuongoza wafu maana hatima yao ni 31 oktoba. hawawezi kushindana hata na saikolojia zao veri veri poooor
Freetown JF-Expert Member Joined Apr 6, 2008 Posts 882 Reaction score 82 Oct 16, 2010 #5 Ong'wise said: Jamani wana JF. Leo majira ya asubuhi nimeona kitu cha ajabu. CCM wamethubutu kutundika bendera za chama chao kwenye yadi ya makaburi ya wafu pale maeneo ya Buguruni. What is the meaning of this? Click to expand... Jamani mbona ni kitu rahisi, hiyo inamaana kuwa wameshazikwa
Ong'wise said: Jamani wana JF. Leo majira ya asubuhi nimeona kitu cha ajabu. CCM wamethubutu kutundika bendera za chama chao kwenye yadi ya makaburi ya wafu pale maeneo ya Buguruni. What is the meaning of this? Click to expand... Jamani mbona ni kitu rahisi, hiyo inamaana kuwa wameshazikwa
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,244 Oct 16, 2010 #6 wana weka booking mapema
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,251 Oct 16, 2010 #7 Ndo wanakostaili kuweko uko baada ya 31st Oct.
B Babuyao JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 1,740 Reaction score 274 Oct 16, 2010 #8 Labda wanakesha huko wakitambika kwa mizimu, na kwa wale 'walinzi' wa mzee Yahya. Wakimaliza wanaacha bendera zao huko.
Labda wanakesha huko wakitambika kwa mizimu, na kwa wale 'walinzi' wa mzee Yahya. Wakimaliza wanaacha bendera zao huko.
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,251 Oct 16, 2010 #9 Unaweza kuta wanataka timiza sharti la mganga wao
M mpangwa1 JF-Expert Member Joined Jul 19, 2009 Posts 278 Reaction score 9 Oct 17, 2010 #10 ulinzi toka kwa yule mtabiri wa nyota