Bendera za ACT-Wazalendo zaupamba mji wa Arusha!

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Ni ndani ya siku hizi tatu ninashuhudia utitiri wa bendera za ACT haswahaswa katika mitaa ya Kimandolu na Ngulelo.

Sijaelewa kwanini na sifahamu ni nani anayezigawa na pia inashangaza kwanini zinapepea tena karibu na barabara.

Siasa ya mwaka huu ni ngumu, wanasiasa wanaonesha ulaghai huku raia wakiwa wajanja mno!
 
Mkuu hakuna hata picha? Walio mbali waamini vipi?
 
ACT ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa. UKAWA imebainika ni genge la wasakatonge kwakuwa tayari kupokea watu waliofilisika kisiasa ambao Mwl Nyerere alikwisha walaani.
 
Kweli kuishi lwingi kuona mengi Ulikuwa na hoja enzi hizo umekuwa kioja na vioja vyako
 
Mkuu hakuna hata picha? Walio mbali waamini vipi?

Nitapiga na kuziweka mkuu lakini wakati unasubiri waulize wakazi wa maeneo hayo ambao wako humu jamvini.
by the way...Leo hii huniamini hata mimi?
 
Ndugu Zitto tueleze ni nani huyu anayeeneza chama huku kwenye ngome yetu?
 
Last edited by a moderator:
Ungeandika bendera za ACT zaupamba mji wa kimandolu, maana nipo arusha ila sijaona
 
wewe naona huwajui watu wa kaskazini vizuri. yaani mtu wa kaskazini ashabikie chama cha zito aache CHADEMA? Labda huyo ni muha kibarua anatafuta maisha huko
 
Ni ndani ya siku hizi tatu ninashuhudia utitiri wa bendera za ACT haswahaswa katika mitaa ya Kimandolu na Ngulelo.

Sijaelewa kwanini na sifahamu ni nani anayezigawa na pia inashangaza kwanini zinapepea tena karibu na barabara.

Siasa ya mwaka huu ni ngumu, wanasiasa wanaonesha ulaghai huku raia wakiwa wajanja mno!

picha tafadhalii
 
ACT ndio chama kikuu cha upinzani kwasasa. UKAWA imebainika ni genge la wasakatonge kwakuwa tayari kupokea watu waliofilisika kisiasa ambao Mwl Nyerere alikwisha walaani.

Kwan nn maana ya chama kikuu cha upzan kaka?
 
Ungeandika bendera za ACT zaupamba mji wa kimandolu, maana nipo arusha ila sijaona

Inawezekana hapo ulipo hazijafika subiri kidogo tu utarudi na kuukiri ukweli huu
 
Back
Top Bottom