Bendera ya Tanzania...inauzwa wapi?

Bendera ya Tanzania...inauzwa wapi?

mshikachuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
2,853
Reaction score
638
Nimetembea karibu nimalize Kariakoo yote na maeneo ya Posta mpya yote...sijaona au kukuta sehemu ambayo wanauza.

Bendera ya Tanzania. Bendera ninayoihitaji mimi ni zile kubwa zinazopepea kwenye milingoti kama wizarani na kwenye mahoteli makubwa hapa Tanzania.

Mwenye kujua nitaipata duka gani au ofisi gani anielekeze ili niende kununua as ssoon as I can ilimradi hiyo sehemu wawe wanauza bendera original na quality na siyo zile za kuchuja kila unapoifua.

Naombeni msaada wenu. Ahsanteni
 
Kituo darajani kama unatokea changombe mataa unaenda mmoja kituo cha kwanza tu
 
Ama wafanyabiasha sio wazalendo Au serikali yenyewe Haina uzalendo, bidhaa hii kuwa adimu Mi naona co haki
 
Hizo ni nyaraka za serikali, kama meno ya tembo?
 
Yule Kada wa Chama fulana anayening'iniza bendera ya taifa shingoni, anaweza kuwa na jibu muafaka!
 
Nimetembea karibu nimalize kariakoo yote na maeneo ya posta mpya yote...sijaona au kukuta sehemu ambayo wanauza
bendera ya Tanzania. Bendera ninayohiitaji mimi ni zile kubwa zinazopepea kwenye milingoti kama wizarani na kwenye mahoteli makubwa hapa Tanzania. Mwenye kujua nitaipata duka gani au ofisi gani anielekeze ili niende kununua as ssoon as I can ilimradi hiyo sehemu wawe wanauza bendera original na quality na siyo zile za kuchuja kila unapoifua.

Naombeni msaada wenu. Ahsanteni

Muulizie Mwigulu maana yeye mwili mzima ni bendera ya taifa
 
Back
Top Bottom