BENDERA ya CCM

BENDERA ya CCM

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
1,282
Reaction score
250
KWENYE WEBSITE YA CCM KUNA HII BENDERA AMBAYO INAPEPERUSHWA NA UPEPO,
LAKINI CHA KUSHANGAZA NI KWAMBA ALAMA YA JEMBE NA NYUNDO VIMESIMAMA NGANGARI KINOMA.
ccm_flag_anim.gif



SOURCE: WEBSITE YA CCM
 
Sumbalawinyo hata sijaelewa unamanisha nini fafanua tafadhari angalau na mie ni-coment
 
Sumbalawinyo hata sijaelewa unamanisha nini fafanua tafadhari angalau na mie ni-coment

Anamaanisha kwamba ilitakiwa jembe na nyundo kama vipo pamoja na bendera vipeperuke pamoja inaonekana mtengeneza site ameungaunga kwenye kuiweka hiyo bendera manjonjo ya kupepea!!!
 
Back
Top Bottom