illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
huwa nasikitika sana ninapo ona bendera za mataifa fulani zikiwa zinapeperuka zikiwa chafu ama zimechakaa hii ni kwenye mahoteli na kwenye ofisi za ubalozi husika. hii ni kutokana na ukweli kwamba bendera ni ishara kuwa muwakilishi wa nchi husika yupo pale paliposimikwa bendera sasa inakuwaje chafu au chakavu...aibu aisee
Sent from my TECNO S9 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO S9 using JamiiForums mobile app