Membe sio MTU sahihi kuwa rais wa nchi hii,...kama VIP Jiwe aendelee tuHuyu hata mfanyeje, mmsafishe, mmpambe hawez kuwa rais
Roho mbaya hii uliitoa wapi kijana? Kwa mifumo ya nchi chochote kinawezekana,Huyu hata mfanyeje, mmsafishe, mmpambe hawez kuwa rais
Lolote linawezekana kutokuwa Rais.Roho mbaya hii uliitoa wapi kijana? Kwa mifumo ya nchi chochote kinawezekana,
Lolote linawezekana
Kwa mateso tunayopitia acha tujaribu huyuMembe sio MTU sahihi kuwa rais wa nchi hii,...kama VIP Jiwe aendelee tu
...nikifikiria kuhusu FAO la kujitoa na hilo la pension..huwaga naishia kuumia mkuuKwa mateso tunayopitia acha tujaribu huyu
Huyu hana sura ya vilipizi ana hofu na Mungu
Acha aturudishie matumaini tuwe na nyuso za furaha hata kwa miaka mitano tu inatosha kwani sasa watu wamekata tamaa watu wanatamani kuihama nchi yao ya kufikirika
Kwanini, sio raia au.
Vipi! Jiwe mmeshalichoka?Rais ajaye wa JMT ashajulikana na CCM imemuandaa siku nyingi, msisubiri huyo apitishwe kuwa mgombea urais.
Hakuna atakayekaa mileleVipi! Jiwe mmeshalichoka?
Wkwkwkkwkwkwkwkkwkwkw jamani aaaa jiwe hatishiwi na hii mambo amekwiva subirini akate magovi kwa mara ya pili nadhani mkitoka ukumbini mtakuwa mmenyeshwewa mvua ya barafu. Hehehehehehehehehehhe
Sio tuu hawezi...bali pia hafai kabisa!!Huyu hata mfanyeje, mmsafishe, mmpambe hawez kuwa rais
Nchi hii haina mtu sahihi wa kuwa rais yeyote anaweza kuwa rais maana nchi yenyewe haijielewi.Membe sio MTU sahihi kuwa rais wa nchi hii,...kama VIP Jiwe aendelee tu
...nakuelewa mkuuNchi hii haina mtu sahihi wa kuwa rais yeyote anaweza kuwa rais maana nchi yenyewe haijielewi.
Ila ww unafaa kuwa Raia?Huyu hata mfanyeje, mmsafishe, mmpambe hawez kuwa rais
...nakuelewa mkuu