Jay dinongo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 211
- 291
Sawa msaidizi wa mungu tumekuelewa,, naona unakipaji cha mambo ya ghaibuHuyu hata mfanyeje, mmsafishe, mmpambe hawez kuwa rais
Sawa msaidizi wa mungu tumekuelewa,, naona unakipaji cha mambo ya ghaibuHuyu hata mfanyeje, mmsafishe, mmpambe hawez kuwa rais
Wananchi wangependa iwe hivyo lakini siyo utamaduni wa CCM. Wataendelea tu kuumia.Kwa mateso tunayopitia acha tujaribu huyu
Huyu hana sura ya vilipizi ana hofu na Mungu
Acha aturudishie matumaini tuwe na nyuso za furaha hata kwa miaka mitano tu inatosha kwani sasa watu wamekata tamaa watu wanatamani kuihama nchi yao ya kufikirika
Unaumwa na AKILIMembe sio MTU sahihi kuwa rais wa nchi hii,...kama VIP Jiwe aendelee tu
Kama magu kawa rais nani atashindwa kuwa rais nchi hii?Huyu hata mfanyeje, mmsafishe, mmpambe hawez kuwa rais
Ukiachana na fraha, pia itatupa confidence kuwa Rais sio lazima aongoze miaka 10Kwa mateso tunayopitia acha tujaribu huyu
Huyu hana sura ya vilipizi ana hofu na Mungu
Acha aturudishie matumaini tuwe na nyuso za furaha hata kwa miaka mitano tu inatosha kwani sasa watu wamekata tamaa watu wanatamani kuihama nchi yao ya kufikirika
Daahh ushanikosesha amani...nikifikiria kuhusu FAO la kujitoa na hilo la pension..huwaga naishia kuumia mkuu