Uwanja wa kisiasa ukiwa sawa kwa wote kati ya CCM na vyama vya upinzani ndugu yangu hii kauli yako itakuja kukusuta,,,,chukulia kwa mfano mdogo tu ili ujue nguvu ya upinzani ulivyo hapa nchini ni pamoja na matumizi makubwa ya vyombo vya habari kwa CCM kujinadi kwa miradi inayojengwa hapa nchini,pamoja na kutumia vyombo vya dora kuukandamiza upinzani kila mahali hapa nchini lakini bado kwenye uchaguzi mdogo mkaweka mpira kwapani,,sasa tujiulize pamoja na upendo wote mnaoutangaza kwamba CCM inapendwa na watanzania wote mnaogopa kuwepo kwa TUME HURU YA UCHAGUZI vile vile mnaogopa mikutano ya kisiasa kwa vyama vya upinzani,,,sasa udhihirisho wa kwamba mnapendwa unatoka wapi wakati mmekuwa waoga kiasi hiki?hivi nani ambaye ni intellectual huko CCM ambaye anawaminisha kitu kisichokuwepo na ambacho ninyi wenyewe hamkiamini kwenye nafsi zenu