Ben Saanane Mwenyewe ni maliti na hilo amelikiri kwa hiyo anachotaka ni kujiosha tu hapa ili tumuone kwamba ni msafi yani huyo naye ni msaliti tu aoswe.

Ben saanane ni kijana shujaa sana nampongeza sana na Nina amini ametutoa pabaya kwani sasa majibu tumeyapata ya maswali tuliyokuwa tunajiuliza mfano.
1-kwanini zito haonekani kwenye harakati?
2-kwa nini zito amekuwa akipingana na wenzake pale wanaposhinikiza serikali?
3- kwanini Zitto amekuwa akipingana na kukejeli safari za JK wakati yeye kila kukicha ni pipa?
4-kwanini zito hapokei ushauri wa wazee wa cdm?
5-kwanini ajione yeye ndio anayefaa Kuwa raisi ndani ya cdm na sio mwingine?
Hapo ndio nadhibitisha Kuwa alikuwa anavuruga cdm badala ya kuijenga. Asante sana Ben Saanane kwa ujasiri wako.

Cdm wasimamishe mgombea mngine kigoma bora jimbo liende ccm kuliko kuweko na huyu mdudu mtu.....cdm wasisubiri hukumu ya umma 2015 now it's a right time fire em all.
2010 wakati analopoka kauli yake kuwa 2015 hagombei ubunge atagombea urais niliamini huyu jamaa hakitakii mema Chadema. Nilijua atakivuruga kisha ataenda kugombea chama kingine. Kumbe chama chenyewe ni Chauma. Kwanza nilijiuliza, dogo yupo chini ya 40, atawezaje kugombea? halafu CHADEMA wanaye Dr. Slaa kwa sasa iweje aweke nia? Nikajua DOGO sio, anajua anachokifanya, kwani urais wenyewe hautaki bali ni kutaka kuvuruga tu.ndiyo maana zito anajigamba eti sigombei ubunge 2015 kwa tiketi ya CDM, labda atagombea uraisi CHAUMA.
Nimeshindwa ku komenti chochote mpaka sasa.