Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Kamanda wa chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Ben Saanane amemshangaa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye kwa kupita huku na huko akihoji elimu za viongozi wa CHADEMA.
Akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara huko GOBA jana Saanane alisema anamfahamu vema Nape kwani walisoma pamoja huko nchini India.Saanane alieleza kwa kirefu jinsi Nape alivyotumia njia zisizo halali kupata elimu yake.Saanane alimtaka Nape afunge mdomo kwani kamwe hawezi kujilinganisha na John Mnyika kwa sababu ni sawa na kulinganisha na mbingu na ardhi.
Akishangiliwa na umati mkubwa wa watu Saanane pia aliwatahadharisha wananchi kuhusu Juliana Shonza na Mtela Mwampamba ambao walifukuzwa na Chadema na sasa wanatembezwa majukwaa mbalimbali na CCM kwa lengo la kuwatukana matusi viongozi wa Chadema.
Ben Saanane kwa siku za karibuni amejipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya Chadema tangu pale alipofichua njama za usaliti ndani ya Baraza la vijana la Chadema-BAVICHA na hatimaye wasaliti hao walioongozwa na Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wakafukuzwa uanachama.

kupoteza uelekeo tuu sisi hatuna maji,madawa,elimu bomu...halafu wanazungumzia watu na elimu zao....
mkuu hili likuwa ni aob baada ya kujadili kwa kina ahadi ya maji na mdororo wa elimu
Acha kupindisha historia.
Wasaliti waliongozwa na Ben Saanane (COBRA) kwa kushirikiana na Habibu Mchange (MDUDE). Ila baada ya Ben Saanane kuona anakosa fursa ya kukutana na Zitto (PREZZO) akaamua kubadilisha plan.
Watu ni kulipuana tu siku hizi. Kuja jamaa alipost hapa thread ya kumlipua Ben Saanane lakii naona bahati mbaya mods wameilipua! Kumbe Ben alisoma India? Nilikuwa sijui na huyo jamaa aliyemlipua alisema kwamba kuna kitu kilifanyika wakati Ben akiwa India (Sisemi kwa kuwa naona mods hawakuitaka).[/
Kuna wahindi walikuwa wanamclouds FM
Acha kupindisha historia.
Wasaliti waliongozwa na Ben Saanane (COBRA) kwa kushirikiana na Habibu Mchange (MDUDE). Ila baada ya Ben Saanane kuona anakosa fursa ya kukutana na Zitto (PREZZO) akaamua kubadilisha plan.
Thead ya maji na elimu ziko wapi? au AOB ndio ina worth kufunguliwa thread?
mia jamaa ni mnafiki sana chadema yabidi kuwa makini na huyu mole ben saa8
Wale wale ambao wanapiga kelele kwamba Nape amefilisika kisiasa kwa kuongelea watu na wayapuuze yale anayoyaongea, hao hao wanakuja kuanza kuyachagiza katika jukwaa lile lile. kama niya kupuuzwa, kuna maana gani basi kutumia jukwaa kuyarudia tena na tena.
Kwa maana nyingine, Huku ni kucheza muziki unaopigwa na Nape & co-
Siasa bana.
Thead ya maji na elimu ziko wapi? au AOB ndio ina worth kufunguliwa thread?
Watu ni kulipuana tu siku hizi. Kuja jamaa alipost hapa thread ya kumlipua Ben Saanane lakii naona bahati mbaya mods wameilipua! Kumbe Ben alisoma India? Nilikuwa sijui na huyo jamaa aliyemlipua alisema kwamba kuna kitu kilifanyika wakati Ben akiwa India (Sisemi kwa kuwa naona mods hawakuitaka).