Ben Pol with his bae at Salt Bae Dubai


Sipendi kujibizana na kilaza.
Ndio - kama mastaa wenu watakimbilia hizo nchi wakishapanda hadhi kwenye jamii basi hizo nchi zina hadhi kuwashinda.

Kuhusu watu kutaka kuja Tanzania hayo ni mambo ya upuzi. Mtu huenda pale amepata fursa - saa hii hii nikipata fursa bora kuliko niliyonayo Sudan Kusini nitaenda. Inamaanisha Sudan Kusini iko juu ya Kenya? Shida yako ukishashindwa na mjadala unaanza kuropoka vijimambo ambavyo hata haviko kwenye mjadala. Sasa mambo ya ushoga yanaingilia wapi? Ama wewe ni shoga maanake unapenda huo mjadala sana.

Nishaakwambia na kukutolea mifano kua wanaume wanaotoka kwenye jamii za hadhi ya chini hutamani kupata demu kutoka jamii zenye hadhi ya juu na kila mara wakipanda hadhi wao hukimbilia huko - kama vile ni nadra kupata mzungu mwenye hadhi ya juu akimuoa msichana wa kawaida muafrika lakini kila mara wafrika wakipata pesa wanakimbilia Wazungu - kama harmonize vile.
 
Unapiga njuru huku Ben pol anafinya manenos! Kende mwendo mmoja halafu huyu dada alivyoshona na jamaa alivyo mwembamba, ni anapenya mpaka utosini! Yaani Medulla....endelea na njuri msaidie kulia utamu!
 
Kijana anatuwakilisha vyema. Itapendeza safari ijayo Wizara ya Sanaa na Michezo imkabidhi bendera.
 
We jamaa nawe iyo Kenya yenyewe so shamba tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa nawe iyo Kenya yenyewe so shamba tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kenyans are global. We are up do date and can hold down a conversation anywhere in the world. Few Tanzanian celebrities can do that..............in fact when somebody mentions a Tanzanian woman who is presentable anywhere in the world, Venessa Mdee and her sister Namtero Mdee comes to mind - they are both Kenyan educated. That's the reason whenever Tanzanian musicians reach a certain level of stardom, they ditch Tanzanian girls. They want something presentable as they travel the world.
 
Unapiga njuru huku Ben pol anafinya manenos! Kende mwendo mmoja halafu huyu dada alivyoshona na jamaa alivyo mwembamba, ni anapenya mpaka utosini! Yaani Medulla....endelea na njuri msaidie kulia utamu!
Nyie endeleeni kulia............mastaa wenu wote wataendelea kuja Kenya kutafuta warembo maanake wa kwenu ni low class.
 
Mbongo akishakuwa Staa lazima aje Kenya kutafuta dem wa maana maanake madem wabongo washamba. Maskini kama Akina Mulisaa, Kidonda Na giza ndio wanaoachiwa madem washamba wakibongo.


Tatizo mademu wa Kenya huwezi kukuta umbo namba 8 ...yaani kuanzia kiunoni kwenda chini huwa ni bure kabisa nafikiri ni sababu ya kutokuwa na muingiliano wa makabila tofautitofauti .......yaani nimejaribu kutafuta mwenye kiuno cha nyigu na chura na guu la bia nimekosa kabisa kule Kenya....labda kama unataka wa kuongea kiingereza cha kina Wema Sepenga...lakini not presentable at all....Hawa mastaa wa kibongo ni malimbukeni wa Lugha...na ni wachache watakaowaoa kweli
 
Huku bongo wenye tabia za kujiproud kama wakenya ni kabila la kihaya...lakini hakuna lolote jipya....kujua kiingereza ndiyo kuwa presentable?we kweli boya....mademu 95% wa kikenya kuanzia kiunoni kwenda chini ni majanga kabisa..shapeless...miguu yoote inaangalia upande mmoja ,vigimbi nk.....ndiyo upresentable huo??
 


Utumwa unawasumbua ....Lugha mnayoitambia siyo ya kwenu ni ya mkoloni...hebu oneni aibu kidogo...ona wachina hawajui kiingereza lakini wako wapi?
 
Tangu lini mtumwa akawa ana hadhi kuliko bwana wake???? Kuongea kiingereza ambayo siyo lugha yenu ndiyo hadhi ya juu??? teh teh teh....Nani mwenye shida na mwenzie kati ya hao mademu na mastaa?? huoni hapo dada zenu wanavyowaaibisha sababu ya kuendekeza njaa??
 
aaagh kabisa
******** have to do something. We can't allow our stars to continued dated ugliers girls Kenyan. They should be jailing. We have beauty girls who are supposing to be notice by them. Now our Tanzania girls practicing witch because of hopelessly.
 
******** have to do something. We can't allow our stars to continued dated ugliers girls Kenyan. They should be jailing. We have beauty girls who are supposing to be notice by them. Now our Tanzania girls practicing witch because of hopelessly.
Nimekuelewa mrembo....Watoto wa kibongo wapo very presentable....I hope hata wewe Janerose unafaa ,uko cute'n' brainy......tatizo mastaa wetu wana ulimbukeni flani
 
******** have to do something. We can't allow our stars to continued dated ugliers girls Kenyan. They should be jailing. We have beauty girls who are supposing to be notice by them. Now our Tanzania girls practicing witch because of hopelessly.
Aliyekutuma uandike hiki kimombo walai Mungu anamuona
 
Hahahahahahahahah, piga kelele lakini tutaendelea kuwatafuna wadada zenu mchana kweupe, ninyi hamna uwezo wa kuwapata Dada zetu kwasababu wanaume wa Kenya huku kwetu wanaonekana kama second class men.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…