Ben pol si kwa jicho hili aisee.

Acheni umbea tujadili tunaifikisha wapi nchi hii kimaendeleo nyie kama vijana
 
Hilo jicho ni linasema

"Mungu nisamehe ninachoenda kukifanya hiki kifua wewe unajua, oops I forgot na K"
 
Hivi hawa ni kweli au wapo ki kiki zaidi
 
Acheni umbea tujadili tunaifikisha wapi nchi hii kimaendeleo nyie kama vijana
Utajadili nini mbele ya Magu??hapangiwi wala hajadili na mtu kashasema anajiamini kwa hiyo tulia ataifikisha tu sisi tupige umbea na kulala
 
Acheni umbea tujadili tunaifikisha wapi nchi hii kimaendeleo nyie kama vijana
Unamaandeleo gani wew ebu kaa kimya huko .... Icon yako ...imejaaa uvunjaji wa Maendeleo ya wengine ..... [emoji102][emoji188]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…