Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,640
[HASHTAG]#KIDUME[/HASHTAG] KIDUME
DaaahUnakuwaje na hamu kwa mwanaume mwenzio???
Natamani ningekuwa na rangi km yake ndo vile nimezaliwa mweupe, wanaojichubua na kujikwatua kupitiliza sijui wigi, mikucha, make up, aiseee tuwaombee tuAise...yani umemsifia kama we si KE..!!?
Msijikoboe koboe bas..
Nakupongeza kwa kurejea. Ulituvuruga sana hapa mashabiki wako wa damu na zile ishu za mafuta...
Mambo ya ebitoke na affairs zako nyingine za mapenzi hayatuhusu.. Jana umeguguma sana XXL wakikufukunyua.
Hili ngoma ni kali. Karibu tena. Shida yetu sisi ni good music.
Ouhh...karib PM..🙄🙄🙄Natamani ningekuwa na rangi km yake ndo vile nimezaliwa mweupe, wanaojichubua na kujikwatua kupitiliza sijui wigi, mikucha, make up, aiseee tuwaombee tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Waooo!Natamani ningekuwa na rangi km yake ndo vile nimezaliwa mweupe, wanaojichubua na kujikwatua kupitiliza sijui wigi, mikucha, make up, aiseee tuwaombee tu
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah...swali la msingi hili!Unakuwaje na hamu kwa mwanaume mwenzio???
Anijibuhahahah...swali la msingi hili!
Ndio mkuu sina mkeHii ndo mida yako ya kujibu thread...
Huna mke wewee!!??
Kuoa nitaoa na sipo CHAPUTA mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Oa ndugu yangu... Utaishi CHAPUTA hadi lini!??