Teh hlf wewe bintiWhy not!?
heeh,... Skuizi umeokoka au? pRAISE THE LOOOORDWhy not!?
heeh,... Skuizi umeokoka au? pRAISE THE LOOOORD
Af skuizi umekuwa mpolee,,, hadi umenishawishi nitake kutangaza nia.... Nikaribishe basi mrembommh! we wanitafuta maneno tuu
Uko sahihi mkuu[emoji106]Ukitaka kumjua mwanamke mwenye furaha kwenye mapenzi yake au ndoa yake mtizame sura yake utajua kila kitu sababu hazina ya furaha na amani hutoka moyoni na kilichopo moyoni huonekana usoni.Macho mlango wa roho na moyo.
Ukiona mwanaume anapendeza sana na anajua kuvaa brand bora na nguo nzuri pamoja na viatu visafi na bora na kunukia vyema kwa marashi mazuri basi jua nyuma yake kuna mwanamke mzuri anaye mpendezesha mume wake daima.
Kitu chako lazima ukitunze kwa ubora wa hali ya juu. Kazi ya mke ni kumtunza Mfalme wako ambaye ni mumeo .A lady is a woman who makes a man behave like a gentleman.
GedsellianTz
Sio kweli.....hata tusiooa tupo wasafi mwili,nguo hadi majumbani.Ukiona mwanaume anapendeza sana na anajua kuvaa brand bora na nguo nzuri pamoja na viatu visafi na bora na kunukia vyema kwa marashi mazuri basi jua nyuma yake kuna mwanamke mzuri anaye mpendezesha mume wake daima.
HaiwezekaniEti Evelyn Salt na rubii mtaweza kuyafanya hayo yote bila miamala?
Duuuuh na hiyo picha hapo ni wewe au ?mmh! we wanitafuta maneno tuu