Jasho halipo usoni ila huko?Jasho hilo.
Ndo maana simba na yanga wanaitwa watani wa jadi, katiba inaturuhusu mimi wa simba kumtania wa yanga!Ushabiki wa aina hii ni hatari.
Huku ni kumdhalilisha mtu. Kesho utashangaa yupo timu yako.
Kutania ni sawa lakini kudhalilisha hapanaNdo maana simba na yanga wanaitwa watani wa jadi, katiba inaturuhusu mimi wa simba kumtania wa yanga!