Beki 3

Ukiona hivyo kaona jamaa nae yuko kiasarasara,anatoatoa mimacho kama komba kwa hiyo naye beki3 kaona asilaze damu

Mkuu nakubaliana na wewe
Na inawezekana hata kw ahouse gal kuna vitu ashamuonyesha ndo maana anamvalia kanga moja na kujipitisha pitisha kwake
Mimi house gal hata kupita mbele yangu akitoka bafuni ni mwiko na wala sijui anaingia bafuni au kutoka saa ngapi
 
Jamani,beki 3 ananitega,beki 3 anatikisa masaburi mbele yangu,beki 3 anataka anakula kungu,beki 3 anadai hawezi kulala peke yake anaogopa...mke wangu yupo Igunga kwenye semina,nifanye nn mie?

kwa jinsi ulivyoipresent post,kwa madaha na mbwembwe nyingi...unachotaka kuambiwa ni 'go ahead'
 
LD, kuna kila sababu ya kuangalia upya maana ya hili neno "uaminifu"...
Kuwa nikifanya ngono na mtu mwingine hata kama simprndi ninakosa uaminifu?...
Kuwa nikifanya ngono kwa sababu ambazo sio mapenzi, nakosa uaminifu?...

I still doubt on that...
 
kwa jinsi ulivyoipresent post,kwa madaha na mbwembwe nyingi...unachotaka kuambiwa ni 'go ahead'

Kabisa
Na alitegemea hayo kutoka kwa wadau kumwambia aise kula mali hiyo
 
LD, kuna kila sababu ya kuangalia upya maana ya hili neno "uaminifu"...
Kuwa nikifanya ngono na mtu mwingine hata kama simprndi ninakosa uaminifu?...
Kuwa nikifanya ngono kwa sababu ambazo sio mapenzi, nakosa uaminifu?...

I still doubt on that...

Tuko mbona leo umekuwa hivyo mkuu
Nilitegemea uwe the other way round
 
kwa jinsi ulivyoipresent post,kwa madaha na mbwembwe nyingi...unachotaka kuambiwa ni 'go ahead'

mkuu ingekuwa natamaa mbona ningekula tayari,tatizo anafanya mambo ambayo kwa rijali kama mimi khari inakuwa ngumu.
 
Sie tunawaita Hg(mercury) acha kabisa hayo mambo ukiona anakutega we nenda katembee urudi late home au kama ukizidiwa solution ni kudandia bomba aka kupanda mnazi
 
mkuu ingekuwa natamaa mbona ningekula tayari,tatizo anafanya mambo ambayo kwa rijali kama mimi khari inakuwa ngumu.

Kumbe huna tamaa na rijali.......sasa fanya maamuzi basi,usitupotezee muda na kutujazia space na post za kufurahisha genge
 
Kumbe huna tamaa na rijali.......sasa fanya maamuzi basi,usitupotezee muda na kutujazia space na post za kufurahisha genge

nimekosa kitufe cha kukugongea 'thanks'
 
Tuko mbona leo umekuwa hivyo mkuu
Nilitegemea uwe the other way round

Ukiwaza juu juu mkuu unaweza kuona kauli yangu inakosa "sense"

Lakini hebu waza kwa kina SANA maana ya uaminifu...

Cheating ina maana kudangaya (kuwa ni wewe tu naekupenda)...
Adultery ina maana kuzini (kufanya mapenzi kwa ridhaa yako, na mtu ambye sio mkeo au mumeo...

Cheating (kukosa uaminifu), ni kosa kwa mungu na kwa mpenzi wako...
Adultery (kuzini), ni kosa kwa Mungu lakini sio lazima iwe kosa kwa mpenzi wako...

Naomba radhi kwani najua itakuwa ngumu sana watu kunielewa, lakini kuna kitu namaanisha, sema nashindwa kukielea vyema...
Kama kuna mtu ananza kunielewa naomba anisaidie kuelezea...
 
Kabila gani huyo haucgal? manake najua weng ni wa kwetu Iringa na Njombe<sasa km anakula kungu,napata wacwac kidogo! Chapa ilale....
 
Kabila gani huyo haucgal? manake najua weng ni wa kwetu Iringa na Njombe<sasa km anakula kungu,napata wacwac kidogo! Chapa ilale....

huyo ni wa Singida,hapo vp?
 
tehe umenikumbusha bwana mmoja alikuwa anafanyiwa hivo na housegirl wake
akaamua kumnunulia simu,kwa bahati nzuri huyu bwana nia mhasibu mda mwingi
anachelewa kulala kwani anakuwa na kazi nyingi za auditing
, ikawa housegirl anamjia sebuleni hapo kumuomba amfundishe kutuma msg
na wakati huo mkwewe anakuwa kalala,housegirl humjia na kanga moja tu kwa vile dar ni joto
huku akimuegemea bwana mkubwa begani na chuchu zake zikimgusa jamaa kadata manake
chuchu zenyewe ni 6 oclock standing, jamaa kala mtoto hadi akajisahau huwa anaamka
hata usiku kumega,siku moja mkewe kashtuka kaanza kumtafuta mumewe kuanzia bafuni
sebuleni hakumwona ndipo aliposikia miguno chumbani kwa housegirl,alipoingina kawakuta
wanamegana kutahamaki kajitetea alipokuwa sebuleni kaona panya akiingia chumbani kwa binti ndio kaja kumtoa.
i think huyu bwana yupo jf na anaisoma hii mada hahaha ndivo hivo usijaribu kaka
jikaze kidume
 
aha aha aha,sasa ndoa iliendelea?
 
Yani na wewe huwa unajaribu hadi hii leo,test validity then conclude analysis ndio uitoe hapa
 
aiseee ishu ya masaburi ya beki 3 mi sina neno kweni wengi wamenona haswa kwan wao si wachakarikaji wanakula na kulala.mi niko tofauti kidogo na michango mingi iliyopita.
 
aiseee ishu ya masaburi ya beki 3 mi sina neno kweni wengi wamenona haswa kwan wao si wachakarikaji wanakula na kulala.mi niko tofauti kidogo na michango mingi iliyopita.

mkuu utofauti wako ni upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…