basi ajili mvulana,maana kama huwezi zoezi dogo kama hili,napata taabu kujua ni marafiki wangapi wa mkeo unaowatamani na kutembea nao.Hapo kwenye RED hapo; Easier said than done mamajack! "Solusheni" ni kutokuwa kwenye mazingira ya kuwa na matamanio.
Sijui ni kwa nini; ila napata taabu sana kuamini kuwa hujamtafuna!
kasoro labda kwa wengine,lakini kwangu mie,he is a man!!!!!!tena wa ukweli,kuruhusu au kutoruhu tamaa ni tabia ya mtu,So huwaga muwazi kwako incase akitamanigi, kama hatamanigi basi atakuwa ana kasoro
Ni Mwezi wa 4 sasa tangu huyu Binti atu join hapa kwetu, mwanzoni siku note but as days goes on, Huyu Bint anazid ku change na kutamanisha, sio mimi tu bali hata washakj wanaonitembelea hawaachi kumwaga comments zao.
Nina kama week sasa nafunga na kuomba Mungu aniepushe na shetani Muovu ambaye kimsingi ameshaanza kut send Bad signal kwenye Mind yangu juu ya huyu Bint, nitaendelea kufunga na Kumuomba Mungu aniepushe na Adui Muovu shetani,
basi ajili mvulana,maana kama huwezi zoezi dogo kama hili,napata taabu kujua ni marafiki wangapi wa mkeo unaowatamani na kutembea nao.
ahahahahahah!ndiyo namwambia yeye na nadhani amenielewa.mamaJ; mwambie haya maneno basi mtoa maada;si mimi ati!
Kazi kweli kweli
Leo naenda kumtamani house boy wangu
Bangi nibangue nikafanikiwe hili
Mkuu Mbona unaingilia Imani za watu, watu kama nyie ndo wanafiki mnaojifanya saaaaafi kumbe ndo mmeoza, na nimeianzisha hii thread Purpsely kuona watu kama nyie mnavyo ji expose kwa Kuukimbia ukweli na kuvikimbia Vimvuli vyetu,waBongo tutaendelea kufa na Ukimwi (kuwa 'negative' haimaanishi utakuwa hivyo milele) mpaka siku tutakapo learn to take responsibilities for our 'stupid' actions...kila baya linalotutokea katika maisha yetu
basi tunajiona sisi kama sisi hatuko responsible kwa hilo baya lililotukuta, bali ni some super power evil spirits..blame it on shetani au kurogwa, ili mradi tu sio 'fault' yako, it has to be somebody/something else! mmmssccchheeeeew!
Kama huwezi take responsibility kufunga zipu yako, mpaka mungu akufungie...endelea kusubiri tu aifunge, but god has his own ways of keeping your zip up, not necessarily the way you wish it to be...and you may not like it (anaweza akakupiga na impotence)!
Acha kulegeza legeza moyo wako...sio kila kinachovutia lazima ule...otherwise jiandae ku'take responsibilities' utakapoangamiza familia ndoa/familia yako!
Ndo maana nafunga na kuomba na ikibid natengeneza Zengwe arud kwao[/QUOTE
Usimzibie riziki yake ya ajira aliyoandikiwa, hata kumfanyia zengwe aondelewe ni dhambi pia!
Kutamani kupo, na kujizuia pia kupo! Je angekuwa ni nduguyo hata awe ni mrembo kupindukia ungemtamani?
kasoro labda kwa wengine,lakini kwangu mie,he is a man!!!!!!tena wa ukweli,kuruhusu au kutoruhu tamaa ni tabia ya mtu,
kwa hiyo wewe unaona kutamani mpaka dada wa kazi ndio huna kasoro??.asilimia kubwa ya watu wanotamani tamani ovyo huwa wanamatatizo kwenye utendaji.maana hisia zao na starehe huishia kwenye kuona when it comes kwenye shuhuli yenyewe ni matatizo matupu.so jiangalie.
Mkuu Mbona unaingilia Imani za watu, watu kama nyie ndo wanafiki mnaojifanya saaaaafi kumbe ndo mmeoza, na nimeianzisha hii thread Purpsely kuona watu kama nyie mnavyo ji expose kwa Kuukimbia ukweli na kuvikimbia Vimvuli vyetu,
Haya niliyoandika hata kamma sio kweli (Upande wangu) ila ndo ukweli yanatokea katika Jamii zetu na sie Wanaume ndo Major Source, sio lazima iwe Beki 3 tu, inaweza kuwa wengine, Mkuu acha kukimbia Kimvuli chako
Ok, we unadhani kwanini Mungu aliweka hizo Amri 10?Call me whatever...but thats the truth! Huwezi fanya maamuzi ya kijinga kisa tu unaamini kuwa kila failure yako sio wewe umesababisha...ni shetani! by the time you are blaming shetani, somebody innocent is dying of HIV! kama we mtu wa imani sana...unajua kuwa amri 10 za mungu haziruhusu hata 'kutamani'..shika dini basi, kwa nini blame it on shetani!
naungana na mzalendo jrAcha kukimbia Ukweli mamajack, ninayosema mimi ndo ukweli though kwenu nyie akina Mama, especially wenye wa Dada wa kazi ni vigumu kweli kweli kuukubali, but the truth will stand
Mkuu, sijaona Button ya Thanks, otherwise ningekugongea.Hakukosea aliyeimba Mungu yuko busy aisee..hata la kmtafuna Housegirl umeanza maombi!..lol!
Watu nadhani inabidi tujitambue na kuweka Afya kama kitu cha msingi maishani...Tufke wakati tuone aibu na tujivunie kuwa wanadamu. Mleta mada japo unaonyesha kama mzaha hivi but in real life yanatokea sana. Na ombi langu ni kuwa tuache kumsingizia shetani kwa hata yale ambayo tunaweza kuyaamua kwa kutumia 'human instinct'!!