mamajack , ninayoyasema mimi ndo ukweli, hata Baba Jack huenda anapata hisia kama zangu, sasa sijui yeye hata hukumbukaga kumshirikisha Mungu kwa kufanya vitu kama kufunga, sala n.k au huwaga ndo ana do kabisawewe unamitamaa yako tu imekujaa,wala usimsingizie dada wa watu.
watu wa aina yako hutamani hata watoto wao wa kuwazaa.
kaombewe hilo ni pepo.
mpango huo wala hana kabisa!wewe wala usijesemeshe hapa jf,kamwambie mkeo ukweli kwamba unamtamani bk3 wenu.mamajack , ninayoyasema mimi ndo ukweli, hata Baba Jack huenda anapata hisia kama zangu, sasa sijui yeye hata hukumbukaga kumshirikisha Mungu kwa kufanya vitu kama kufunga, sala n.k au huwaga ndo ana do kabisa
mamajack , ninayoyasema mimi ndo ukweli, hata Baba Jack huenda anapata hisia kama zangu, sasa sijui yeye hata hukumbukaga kumshirikisha Mungu kwa kufanya vitu kama kufunga, sala n.k au huwaga ndo ana do kabisa
Kila kitu kiko akilini mwako.....mimi nimesha kaa na hao mabeki tatu wanafika sasa hata 10, tena warembo na wanakuja wananenepea kwangu, karibu 6 kati yao waliondoka na mimba, lakini akilini mwangu iko principle kwamba siwezi kuwatamani, na sijawahi kuwatamani kamwe!!!
Ndo maana nafunga na kuomba na ikibid natengeneza Zengwe arud kwaoHahahaaaa! Itakuwa LIMBWATA LIMEKUKOLEA!!!!! Chezea kulisha chakula kilichopikwa na MAJI YA KUTAWAZ*A!!!!!Hapo lazima uisome namba, KILA SIKU UNAMUONA BOMBAAAA kumbe CHEMISTRY YA BABU HIYO!!! Hakuja mjini kushangaa MAGHOROFA babu wee. MJINI MIPANGO ATIII! Lazima umtupie WIFE virago kabla msimu wa ndoa kuisha @ Kocha wa Yanga!
kwa sababu namfahamu vizuri,na nimuwazi kwangu,sio kama wewe badala umwambie mkeo kuwa unamtamani bk3,unakuja kutueleza hapa jamvini,tumia ujasili ulioutumia hapa kumweleza mkeo.vipi akija binamu kuishi hapo kwako au mdogo wa mkeo,utafanya nini?dhibiti matamanio yako.Mbona unamsema Baba Jack lakini
Ni Mwezi wa 4 sasa tangu huyu Binti atu join hapa kwetu, mwanzoni siku note but as days goes on, Huyu Bint anazid ku change na kutamanisha, sio mimi tu bali hata washakj wanaonitembelea hawaachi kumwaga comments zao.
Nina kama week sasa nafunga na kuomba Mungu aniepushe na shetani Muovu ambaye kimsingi ameshaanza kut send Bad signal kwenye Mind yangu juu ya huyu Bint, nitaendelea kufunga na Kumuomba Mungu aniepushe na Adui Muovu shetani, ikishindikana zaid nia apply ile wazungu wanasema "He who avoids tempatation avoids Sin" kwa kumtengenezea Zengwe kwa wife ili arudi kwao ukichukulia ni last week tu tumetoka kupima HIV na wife na wote tuko -Ve na sitak kabisaaaa kuwa source ya Maanagamizi ya Familia yangu.
Naomba Mniombee katika kipindi hiki
PS:
Kwa wale mnaotaka ku Employ wadada wa kazi, nashauri muwape kitu kama a "Grace period" ya kama 6 Months na inabid hii iwe agreed before, after six Month ukianza kupata mawazo ya Kishetani mwambie kuwa haja Qualify na umrudishe kwao kabla Hujamtafuna na kuvuruga Familia.
Wasalaam
kwa sababu namfahamu vizuri,na nimuwazi kwangu,sio kama wewe badala umwambie mkeo kuwa unamtamani bk3,unakuja kutueleza hapa jamvini,tumia ujasili ulioutumia hapa kumweleza mkeo.vipi akija binamu kuishi hapo kwako au mdogo wa mkeo,utafanya nini?dhibiti matamanio yako.
So huwaga muwazi kwako incase akitamanigi, kama hatamanigi basi atakuwa ana kasorokwa sababu namfahamu vizuri,na nimuwazi kwangu,sio kama wewe badala umwambie mkeo kuwa unamtamani bk3,unakuja kutueleza hapa jamvini,tumia ujasili ulioutumia hapa kumweleza mkeo.vipi akija binamu kuishi hapo kwako au mdogo wa mkeo,utafanya nini?dhibiti matamanio yako.
Pamoja na kwamba haya mambo yanaokea sana,
Sijawahi kuelewa kwamba inakuwaje kuwaje mtu unaanza kumtamani msichana wa kazi....
Kama huwezi kuswitch off hiyo tamaa basi huko mbele ni hatari...hata wakija wabaya utawatamani tu!