Habari zenu wakuu kitaalamu, mtu anayetumia mkono wa kulia na kutumia mguu wa kushoto huyu mtu brain functioning yake inakuwaje
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Sehem ya Ubongo inayocontrol miguu ya mbele inakuwa imezidi upande wa kulia na sehemu ya ubongo inayocontrol miguu ya nyuma inakuwa imezidi upande wa kushotoHabari zenu wakuu kitaalamu, mtu anayetumia mkono wa kulia na kutumia mguu wa kushoto huyu mtu brain functioning yake inakuwaje
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
embu nielezee kwenye miguu ya mbele na miguu ya nyumaSehem ya Ubongo inayocontrol miguu ya mbele inakuwa imezidi upande wa kulia na sehemu ya ubongo inayocontrol miguu ya nyuma inakuwa imezidi upande wa kushoto
Miguu ya mbele namaanisha mikono na miguu ya nyuma namaanisha miguu mkuuembu nielezee kwenye miguu ya mbele na miguu ya nyuma
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app