Being left footed and right handed

Habari zenu wakuu kitaalamu, mtu anayetumia mkono wa kulia na kutumia mguu wa kushoto huyu mtu brain functioning yake inakuwaje

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Sehem ya Ubongo inayocontrol miguu ya mbele inakuwa imezidi upande wa kulia na sehemu ya ubongo inayocontrol miguu ya nyuma inakuwa imezidi upande wa kushoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom