Nakubaliana na mawazo yako. Ila kuna wanawake hawajitambui kabisa, unampa kila kitu (mahitaji) lakini bado atakuzingua. Rafiki yangu kaoa na ana watoto 2, kapata nafasi ya kwenda kusoma, huwezi amini ndani ya mwaka 1 tu karudi mkewe ana MIMBA! ya miezi 7, yaani mimba kabisa!, nyumba nzuri kamjengea, gari kamnunulia, na kila aina ya anachohitaji anapewa, yaani ni adhabu aisee, baadhi ya wanawake taabu tu
Hapo kwenye red ndipo kuna mchawi wako! wengi wanakua na dharau na kujikweza na kuishi maisha kama ya akina oprah, beyonce, rihanna and the alike!!! my sista kama na wewe uko hivyo geuka mapema, you still have time!!A lady 27 yrs of age,beautiful,God fearing,educated,employed,n classy,but still single with no hope of getting her Mr right..Deep down inside my heart i see myself a wife material n i envy any man who will be with me..Nia sio kujipa promo wala kujitafutia janaume ila ni kuonyesha tu jinsi gan mtu unaeza kuwa the best lkn ukaambulia patupu.Inavoonekana wanawake wengi micharuko n exactly the opposite of wife material wamekuwa wakibahatika kuwa na life la Maana.Unakuta demu mcharuko,gold digger hana mapenzi ya dhati ila mwisho wa.siku.anakuwa na mwanaume kila mtu anajiuliza how comes kaolewa..ila ss hawa wengne wife materials ni full kustruggle living on their own means, having a moderate life ila mwisho wa siku wengi wao nasema wengi wao sio wote huishia kwenye ndoa zisizo bora sana na maisha yao huishia kuwa magumu tu. I have seen this happening to husband materials too..My conclution naona bora tu mtu uwe mcharuko ishi maisha yako achana na kujitaidi kuwa ms or mr perfect ili lolote litakalotokea mtu usiwe na chochote cha kuregreat, na hata ukipata ndoa bora alhamdullilah usipopata kukawa na vurugu mechi pia inshallah tuendelee kukomeshana huko ndoani maisha yaendelee..kweli wife material sucks!!!kuna mwenye wazo la tofauti???
Nakubaliana na mawazo yako. Ila kuna wanawake hawajitambui kabisa, unampa kila kitu (mahitaji) lakini bado atakuzingua. Rafiki yangu kaoa na ana watoto 2, kapata nafasi ya kwenda kusoma, huwezi amini ndani ya mwaka 1 tu karudi mkewe ana MIMBA! ya miezi 7, yaani mimba kabisa!, nyumba nzuri kamjengea, gari kamnunulia, na kila aina ya anachohitaji anapewa, yaani ni adhabu aisee, baadhi ya wanawake taabu tu
Mkuu ,yaani jamaa kwa jinsi anampenda ,kumthamini na kumheshimu mkewe kabaki dilema, anatokwa machoz tu muda wooote ,unajua inauma sana mkuu, kakata tamaa kabisa ya maisha ya ndoa, anakuambia hajamuuliza chochote kile hadi sasa kiasi kwamba mkewe analia tu kila siku nisamehe mume wangu nisamehe shetani kanipitia. Jamaa ananambia yaani kaona kugegedwa nje tu haitoshi kaamua kupigwa mimba kabisa!?, machozi tu yanamtoka mkuu acha kabisa, usiombe hii ikutokee

Exactly my kaka. Yani ingekuwa binadamu ndo tunaamua maisha ya mtu yawaje, kuna watu wangepata tabu mno. Tunasahau kuwa wote tunaishi kwa neema tu.
Kweli kabisa tunaishi kwa neema tu kwa kweli
BTW umemsoma hapo juu mkuu mbalizi1 kuhusu hiyo ndoa ilivyoingia shubiri
A lady 27 yrs of age,beautiful,God fearing,educated,employed,n classy,but still single with no hope of getting her Mr right..Deep down inside my heart i see myself a wife material n i envy any man who will be with me..Nia sio kujipa promo wala kujitafutia janaume ila ni kuonyesha tu jinsi gan mtu unaeza kuwa the best lkn ukaambulia patupu.Inavoonekana wanawake wengi micharuko n exactly the opposite of wife material wamekuwa wakibahatika kuwa na life la Maana.Unakuta demu mcharuko,gold digger hana mapenzi ya dhati ila mwisho wa.siku.anakuwa na mwanaume kila mtu anajiuliza how comes kaolewa..ila ss hawa wengne wife materials ni full kustruggle living on their own means, having a moderate life ila mwisho wa siku wengi wao nasema wengi wao sio wote huishia kwenye ndoa zisizo bora sana na maisha yao huishia kuwa magumu tu. I have seen this happening to husband materials too..My conclution naona bora tu mtu uwe mcharuko ishi maisha yako achana na kujitaidi kuwa ms or mr perfect ili lolote litakalotokea mtu usiwe na chochote cha kuregreat, na hata ukipata ndoa bora alhamdullilah usipopata kukawa na vurugu mechi pia inshallah tuendelee kukomeshana huko ndoani maisha yaendelee..kweli wife material sucks!!!kuna mwenye wazo la tofauti???
Thank you dear.. Thanks..
What are you thanking me for?
Upo single? Mr right nipo hapa njoo pm....
Msinikuu vibaya....
Back to the topic.
Miaka ishirini na saba bado kidogo jua lizame but still una muda wa kutosha tuu kutulia na kuchanga karata zako vizuri.
Hata siku moja usiishi maisha ya maigizo ishi maisha yako ya kawaidia ili mr right akija akukute katika hali ambayo wewe upo!!! Usiigize wewe ni church girl kumbe club girl, mr right atakukuta to the right site.
Kumbukua kumuomba mungu, na pia usiwe mwepes mwepes utalia.
For your good advice nothing else.. Thanks..