Bein sport wamekimbia.

Maarko

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
1,197
Reaction score
611
Wadau wa jukwaa hili naomba mnisaidie. Hawa jamaa wa beinsport jana hawakuonyesha baclays priemium league je ndiyo wamekimbia kama wala jamaa wa gsport?
 
beiinspot jana walionesha epl mechi but zilikuwa ktk channel moja tu ya 9HD hata leo wanaonesha kupitia channel hiyo.
 
hata 11HD inaonesha..sasa hv wanaonesha ya Everton vs arsenal
 
Unapata kupitia satellite gani mkuu? Mimi na ipata kupitia Badr6 ilio po digrii 26e.Halo sipati za HD
 
bro badri unaipata upo maeneo yapi na unatumia rcv ipi,dish size gan na lnb ipi
 
bro badri unaipata upo maeneo yapi na unatumia rcv ipi,dish size gan na lnb ipi

Unapata kupitia satellite gani mkuu? Mimi na ipata kupitia Badr6 ilio po digrii 26e.Halo sipati za HD

beiinspot jana walionesha epl mechi but zilikuwa ktk channel moja tu ya 9HD hata leo wanaonesha kupitia channel hiyo.

Wadau wa jukwaa hili naomba mnisaidie. Hawa jamaa wa beinsport jana hawakuonyesha baclays priemium league je ndiyo wamekimbia kama wala jamaa wa gsport?

kwa anayetaka DQCAM Acc kwa ajili ya NILESAT na HOTBIRD ya mwaka mzima
na Receiver inayo support SMART CARD NA DQCAM
Tuwasiliane 0657209956

men Picture - More Detailed Picture about DQCAM for q sat x man nilesat hotbird dstv Picture in Consumer Electronics from Shenzhen Hean Digital Technology Co., Limited
 
bro badri unaipata upo maeneo yapi na unatumia rcv ipi,dish size gan na lnb ipi

Nipo Dom.LNB ndogo nyeusi cjui inaitwaje Receiver ya kwao wenyewe ya zama I Aljazeera.
 
Mkuu Hd zote unazipata hapo? Dish size gani unatumia? Na uli register receiver yako au?
 
Dish ft8 HD zilipitea ndiyo sababu nikauliza name receiver sikua nine register.
 
beiinspot jana walionesha epl mechi but zilikuwa ktk channel moja tu ya 9HD hata leo wanaonesha kupitia channel hiyo.

Mkuu wewe unatumia dish size gani? Na upo maeneo gani? Je HD unazipata?
 
nipo dar, natumia dis la 8ft C band. napata SD channels tu. Natafuta mtu anayepata HD channels kwa hapa dar

Kama utatumia DQCAM na receiver yake utapata zote

Pia C Band sio LNB nzuri jaribu ultra inverto black na Fuji stargold
 
nipo dar, natumia dis la 8ft C band. napata SD channels tu. Natafuta mtu anayepata HD channels kwa hapa dar

Kwa habari nilizozipata no kwamba ili update za HD lazima ufanye usajili.ukikamilisha usajili turn unapata zote za HD.
 
Hata kama hujasajili unazipata HD1 mpaka HD5 mimi pia nataka kufaham kama kuna mtu anazipata hizo hd
 
nilesat inashikwa kwa lnb ya ku, but inaweza kupatikana kwa dish lolote either prime focus (c) or offset dish (ku).
njunwa, tafuta fundi au mtaalam anayeweza tupate beinspot hapa dar kwa E7WA or Elshail @25.5e.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…