Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
hata hana shida mwenyewe snafahamu mi ndo nilitangulia
Afu wewe!
hata hana shida mwenyewe snafahamu mi ndo nilitangulia
Afu wewe!
Aisee huyo aliyekuficha alifaidi sana, Bishanga anatamani angekuficha yeye
charminglady mwambie.nasubiri mwaliko la sivyo najialika mwenyeweKarb sana shostito.... jaman ndo kufichwa gan huko??? Uwe unapita hata kutupa hi kha!!!
Hellow people za humu jamvini kiukwel nilifichwa kidogo sasa nipo tele mejaa ka pishi la mchele..... Hapa sahiv mpaka mnifukuze wenyewe. My sista Madame B,Charming lady,my dad watu 8,my shem Eric B52,ArushaOne,Bepari la kihaya mr Rutashobolwa,na wengine wengiiiii nimewamisiiiiijee.
charminglady mwambie.nasubiri mwaliko la sivyo najialika mwenyewe
charminglady mwambie.nasubiri mwaliko la sivyo najialika mwenyewe
Haaaaa mama mama looh ntaanzaje kukusahau wa ubani(shem) waja lin huku...
Tenyaaaaaaaaaaaaaaaa.. Nnavokujua hukawii aiseeee.......!
Weee Kabakabana! Ulipotelea wapi? Nilikumiss sana aisee! Promise you wont disappear againWelcome back love
Jamaniiiiiii Mamndenyi mi kwani ntafanyaje ila ikiwezekana kusaidia Sio mbaya.heheee natania tuu mana nsije tolewa vibagia
Hujambo best yangu?kaka mbona wantafutia kesi.....ntayaweza wapi mie haya?