beibe nasty is here!!!?!?

beibe nasty is here!!!?!?

beibe nasty

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
1,640
Reaction score
525
za siku mingi wakuu wa jukwaa hili, nadhan mlikua mnajiuliza huyu binti, mwanadada, mke wa ukwee wa judgement yupo wapi? Ila labda hamkueza hata kuandika thread lakin hilo si kituuu ,kweli nilipotea ila sio ya kutekwa laahasha ila nilikuwa na majukumu kidogo ya kifamilia mana nadhan mlisikia mume wangu alipata ajali so kuuguza ilikua ngumu though alikua mbishi.na sasa nawageukia wale wanaotoleaga macho waume za watu haya mwenye mali nimerudi so kaen pembeen kabisaaa.ila nimewamic siez taja majina yote but naomba niwataje wachache, Dada Madame B, Mkiva, babu Aspirin, shem Erick B52,ArushaOne,Charming Lady,,Baba V, excellent,my wii Catherine, Rutashobolwa,, c6, na wengineeee wengi.

Naihitaj kujuzwa kulikua nanin wakt sipo.


From judgement's wife beibe nasty
 
Daah kuna habari zilitapakaa eti una husika kwenye saga la kamanda sharobaro!
Lakini mi niliwaomba ushahidi hawakunipa ushahidi. Hivyo nikajua ni uzushi tu!

Welcome back!
 
Daah kuna habari zilitapakaa eti una husika kwenye saga la kamanda sharobaro!
Lakini mi niliwaomba ushahidi hawakunipa ushahidi. Hivyo nikajua ni uzushi tu!

Welcome back!

Asante mkuu ila kiukweli nimejitetea vyakutosha ila hawataki kunielewa yan sielew mi nilikua dadaake tuu na sivingnevyo, mzima lakin kipenzi
 
Hata mimi niliambiwa mwl aliyehusika na yale mambo yale ya polisi jamii ni wewe. Nikajua hapa mimi nyumba ndogo yako itabidi nije gereza la Buhemba kukuletea walau soap. Pamoja sana beibe nasty.
 
Last edited by a moderator:
Pole pia kwa kumuuguza judgenent, hayo ya case ni upepo tu utapita!

Asante mkuu ila kiukweli nimejitetea vyakutosha ila hawataki kunielewa yan sielew mi nilikua dadaake tuu na sivingnevyo, mzima lakin kipenzi
 
Hata mimi niliambiwa mwl aliyehusika na yale mambo yale ya polisi jamii ni wewe. Nikajua hapa mimi nyumba ndogo yako itabidi nije gereza la Buhemba kukuletea walau soap. Pamoja sana beibe nasty.

hehehheee jaman bado wanasema wanaendelea na uchunguzi
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu,
Nilikumisije dadayo?
Yani ninafurahije mdogo wangu!!
BTW karibu tena kwenye Busati la CC.
Shem wako anakusalimia.
beibe nasty am real missing u!!
 
Last edited by a moderator:
Pole kwa matatizo yaliyokukuta, na karibu tena tulisukume jukwaa lisonge mbele.
 
My wii pole sana kwa kuuguza, mimi na familia yangu tunawaombea heri.
 
Back
Top Bottom